Je, wasanii wetu hawawezi kubuni kitu kingine nje ya marashi?

Je, wasanii wetu hawawezi kubuni kitu kingine nje ya marashi?

Hili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi?

Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA.

Kwa nini wasanii wetu wamekosa ubunifu mwingine?

Alikiba yeye amekuja na uwakala wa kinywaji ila bei ghali sana, yeye anasema hashushi bei na wanaompenda watanunua, yeye akili yake inadhani biashara imejikita kwenye upendo, kwamba msingi mkuu wa biashara ni kupendwa kwake( hili nitalizungumzia siku nyingine).

Mada inaendelea.
Wewe umegundua nini? Wabongo bwana! Tutafika lakini kwa shida sana kama mtu anajitahd anakuja na kitu chake badala ya kutoa support yanaanza maswali yasiyo na kichwa wala miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom