Je, Wasanii wetu wanajua maana ya Hakimiliki (Copyright)?

Je, Wasanii wetu wanajua maana ya Hakimiliki (Copyright)?

Marichris

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2020
Posts
571
Reaction score
509
Wakuu,

Je wasanii wetu wa sanaa wanajua maana ya hakimiliki yaani copyright? Tunaposema hakimiliki au copyright inamaanisha haki aliyomilikishwa kisheria mtunzi au mwandishi wa kazi fulani kama kitabu, jarida, sauti, video au sauti yenye video.

Sasa Kwa sheria ya Tanzania, haki hizi zinatolewa kwa kipindi chote cha maisha ya mmiliki na nyongeza ya miaka hamsini baada ya kifo cha mmiliki. Hii ni kwa mujibu wa Copyright and Neighbouring Act 1999 section 14 & 15.

Asanteni
 
Back
Top Bottom