Je, wasifiwe WATAALAMU wa IVF , Muhimbili au Msanii Whozu, Wema kupata mtoto!

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Kumekuwa na Inshu Moja critical ambayo inatrend Sana, Msanii wema amefanikiwa kupata mtoto Kwa mara ya Kwanza hongera kwake na Kwa mume wake.

Wema Sepetu amekuwa na shida kubwa ya kupata ujauzito Kwa Njia ya kawaida, na mara zote alizojaribu ilishindikana, mimba zinatoka prematurely, hata Kwa wozu mimba ya Kwanza ilitoka , wema amekuwa na wanaume tofauti tofauti kama Kanumba, Mb. Msukuma, Diamond, Idris, PCK , wozu etc lakini hakuna aliefanikiwa kumpatia mimba wemba Kwa Njia ya Kwinch Kwinch.

Kufuatia hilo wema alienda Muimbili Kwa madtari bingwa wa uzazi katika kitengo cha upandikizaji mimba (IVF), walimfanyia uchunguzi na kugundua tatizo na kumshauri atumie Njia ya upandikizaji , na mbegu zitakazotumika ni za boyfriend wake whozu Ambazo zilipimwa na hazikuonekana na tatizo.

Sasa technology hii ingetumika hata Idris angekuwa na mtoto na Wema.

Swali langu Wema anajua waliomsaidia kupata mtoto ni madaktari wa upandikizaji kama ilivyo Kwa makonda, lakini kwanini Sifa apewe Msanii whozu tu
 

ukiona habari jua nyuma yake kuna habari mzee..... hapo kwenye red ni uongo..
 
Unamuonea wivu? Basi kazae ww na whozu kwanjia ya kwinch kwinch
 


Kwamba after kupandikiza tu wozu akaendelea na maisha yake mengine na wema akawa alone?

Nani alikuwa anamhudumia na kumtunza, mbegu zilizopandwa ni za nani?

Mambo mengine unajiongeza tu hupaswi kuuliza
 
Sasa mbona hueleweki?

Mara useme hakuna mwanaume aliyeweza kumpa ujauzito,mara useme mimba zilikua zinatoka!

Hizo mimba zilizokua zinatoka,alikua anazipataje kama hakuna Mwanaume aliyeweza kumpa ujauzito?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…