Lopsided_Truth
JF-Expert Member
- Jun 12, 2026
- 250
- 939
Kweli wewe ni Kubwa la Maadui mkuuUnamuonea wivu? Basi kazae ww na whozu kwanjia ya kwinch kwinch

AiseeKafiwa na Mbwa wake,
Akapata mtoto,
When one door is closed, don't you know another is open.
Wewe unataka kuleta balaa tuu kwa Msukuma. Unataka ubunge Geita?Kumekuwa na Inshu Moja critical ambayo inatrend Sana, Msanii wema amefanikiwa kupata mtoto Kwa mara ya Kwanza hongera kwake na Kwa mume wake.
Wema Sepetu amekuwa na shida kubwa ya kupata ujauzito Kwa Njia ya kawaida, na mara zote alizojaribu ilishindikana, mimba zinatoka prematurely, hata Kwa wozu mimba ya Kwanza ilitoka , wema amekuwa na wanaume tofauti tofauti kama Kanumba, Mb. Msukuma, Diamond, Idris, PCK , wozu etc lakini hakuna aliefanikiwa kumpatia mimba wemba Kwa Njia ya Kwinch Kwinch.
Kufuatia hilo wema alienda Muimbili Kwa madtari bingwa wa uzazi katika kitengo cha upandikizaji mimba (IVF), walimfanyia uchunguzi na kugundua tatizo na kumshauri atumie Njia ya upandikizaji , na mbegu zitakazotumika ni za boyfriend wake whozu Ambazo zilipimwa na hazikuonekana na tatizo.
Sasa technology hii ingetumika hata Idris angekuwa na mtoto na Wema.
Swali langu Wema anajua waliomsaidia kupata mtoto ni madaktari wa upandikizaji kama ilivyo Kwa makonda, lakini kwanini Sifa apewe Msanii whozu tu
Ni vizuri elimu kusambaa , koz watu wengi Wana matatizo ya uzazi wema anaweza kutumika kama balozi wa IVFJust say Congratulations and move on. Mtoto ni mtoto. Furaha yake msiiwrkee miiba
Ni vizuri elimu kusambaa , koz watu wengi Wana matatizo ya uzazi wema anaweza kutumika kama balozi wa IVF
Madaktari hawajatoa mbegu hata hao wadau wengine hawakuwa tayari kama hivyo mbona qngekuwa amepata zishukyriwe mbegu, mtoa mbegu na fedhaKumekuwa na Inshu Moja critical ambayo inatrend Sana, Msanii wema amefanikiwa kupata mtoto Kwa mara ya Kwanza hongera kwake na Kwa mume wake.