Je, wasifiwe WATAALAMU wa IVF , Muhimbili au Msanii Whozu, Wema kupata mtoto!

Wewe unataka kuleta balaa tuu kwa Msukuma. Unataka ubunge Geita?
 
Just say Congratulations and move on. Mtoto ni mtoto. Furaha yake msiiwrkee miiba
Ni vizuri elimu kusambaa , koz watu wengi Wana matatizo ya uzazi wema anaweza kutumika kama balozi wa IVF
 
Madaktari hawajatoa mbegu hata hao wadau wengine hawakuwa tayari kama hivyo mbona qngekuwa amepata zishukyriwe mbegu, mtoa mbegu na fedha
 
awe amefanya IVF,surrogacy au vyovyote kikubwa amepata mtoto kihali
God's timing is forever accurate.Mambo ya kuhukumu maisha ya mtu ya nyuma sio kwa sababu kuna watu walishatoa za kutosha na bado wakazaa vizuri
 
Aisee, ngoja na mi ni comment, maana yeyote anaandika chochote ilimradi tuwe wapendwa washiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…