Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Mar 25, 2022 #41 Myangu said: Karibu miye nakukaribisha futuru rafiki Click to expand... Ahsante Sana
lamaa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 1,007 Reaction score 2,677 Mar 25, 2022 #42 Yna2 said: Mimi nataka nihamie uislam kabisaa Click to expand... Unakalibishwa sanaaaaa Na Kama ni serious...nichek pm mkuu
Yna2 said: Mimi nataka nihamie uislam kabisaa Click to expand... Unakalibishwa sanaaaaa Na Kama ni serious...nichek pm mkuu
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Mar 25, 2022 #43 lamaa said: Unakalibishwa sanaaaaa Na Kama ni serious...nichek pm mkuu Click to expand... ahsante Sana
lamaa said: Unakalibishwa sanaaaaa Na Kama ni serious...nichek pm mkuu Click to expand... ahsante Sana
draga JF-Expert Member Joined Jul 19, 2020 Posts 529 Reaction score 514 Mar 25, 2022 #44 Kufunga Ni vizur kiafya bila kuingiza blabla za dini yeyote
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Mar 25, 2022 #45 johnthebaptist said: Kwa uchache sana. Naomba kuelimishwa kama mtu asiye muislamu anaruhusiwa kufunga Ramadani. Kama ndio, naomba mwongozo wa taratibu za mfungo. Mungu wa mbinguni awabariki! Click to expand... Nenda Zanzibar. Hili swali lako wala hakitakuwa na maana kwa sababu utafunga utake usitake na tukikukamata unakula mchana bakora zitakuhusu
johnthebaptist said: Kwa uchache sana. Naomba kuelimishwa kama mtu asiye muislamu anaruhusiwa kufunga Ramadani. Kama ndio, naomba mwongozo wa taratibu za mfungo. Mungu wa mbinguni awabariki! Click to expand... Nenda Zanzibar. Hili swali lako wala hakitakuwa na maana kwa sababu utafunga utake usitake na tukikukamata unakula mchana bakora zitakuhusu