Je, wasio waislamu wanaweza kufunga mwezi wa Ramadhani?

Je, wasio waislamu wanaweza kufunga mwezi wa Ramadhani?

Kufunga Ni vizur kiafya bila kuingiza blabla za dini yeyote
 
Kwa uchache sana.

Naomba kuelimishwa kama mtu asiye muislamu anaruhusiwa kufunga Ramadani.

Kama ndio, naomba mwongozo wa taratibu za mfungo.

Mungu wa mbinguni awabariki!
Nenda Zanzibar.
Hili swali lako wala hakitakuwa na maana kwa sababu utafunga utake usitake na tukikukamata unakula mchana bakora zitakuhusu
 
Back
Top Bottom