Je, wasio waislamu wanaweza kufunga mwezi wa Ramadhani?

Je, wasio waislamu wanaweza kufunga mwezi wa Ramadhani?

Zanzibar hawana utaratibu wa kupangisha vyumba kama huku.

Wanafunga from childhood age, na wanahesabu siku walizofunga, watoto wakitaja wamefunga ngapi na wao wanataja idadi ya siku walizofunga. Mm nazungumzia experience nilioishuhudia.
Mimi naishi huku zenji sisimuliwi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kufunga boss kwani kuwaunga mkono ndugu zako waislam na kufuata tamaduni zao ni uungwana usiomithirika

Kama alivyotuamrisha mwenyez Mungu wa haki katika Qur'an sura ya 2 aya ya 183View attachment 2163739
Uungwana ni vitendo..je ninyi nayi huwaunga mkono wakristo kipindi cha kwarezima?

#MaendeleoHayanaChama
 
waislamu huwa hawafungi ila wanabadili ratiba ya kula ndio maana muda wakufuturu,utakuta cha asubuhi,mchana na jioni vinaliwa wakati mmoja
 
Kwanini mkuu?
Huu ni wakati wa Kwaresma wakristo wanafunga na kuomba ..

Je, Umeona makelele kuhusu kulazimishana kulia ndani /gizani?

Umeona bar zinafungwa?

Umeona migahawa inafungwa au kutoa huduma ya chakula kwa siri?

Umeona watu wakigombea futari?

Unasikia promo na matangazo ya hovyo kwenye redio/tv hasa clouds?

Watu wanajisifia kufunga?

Subiri muda ufike utajua namaanisha nini
 
Sio kweli. Unaongea usichokijua. Ungekaa kimya ilikuwa ni bora zaidi kwako!
waislamu huwa hawafungi ila wanabadili ratiba ya kula ndio maana muda wakufuturu,utakuta cha asubuhi,mchana na jioni vinaliwa wakati mmoja
 
Huu ni wakati wa Kwaresma wakristo wanafunga na kuomba ..
Je, Umeona makelele kuhusu kulazimishana kulia ndani /gizani?
Umeona bar zinafungwa?
Umeona migahawa inafungwa au kutoa huduma ya chakula kwa siri?
Umeona watu wakigombea futari?
Unasikia promo na matangazo ya hovyo kwenye redio/tv hasa clouds?
Watu wanajisifia kufunga?

Subiri muda ufike utajua namaanisha nini
Mfungapo msiwe kama Wanafiki wenye nyuso za kukunjamana.....
 
Kila Dini ina Katiba yake,Hakuna nchi inatumia katiba ya mwenzake Ikafanikiwa.. Labda km unafunga kwa Kiki tu uonekane.
 
Back
Top Bottom