Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
MAZINGAOMBWE
Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"...
Likija swali "Ya nani hyo shoga"..... jua hauko peke yako.
Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka