Natumai wanajf mnaendelea vyema ila nina Neno la kusema nanyi mwishoni mwa mwaka huu 2012
Awali ya yote nawatakia sikukuu njema ya XMASS na mwaka Mpya mwema.
ASANTE SANA NASI TUNAKUTAKIA SIKUU NJEMA NA MWANZON MWEMA WA MWAKA 2013 WENYE BARAKA TELE
Ila nina jambo nataka kuwashirikisha kipindi hicho cha mwisho wa mwaka huu 2012 Si kila mtu anaweza kuvuka katika yale aliyoyatarajia tokea January mpaka December hii wala si wote walioweza kuvuka ng'ambo ya mto mwingine, kuna wengine waliishia njiani na kuona dhoruba kali ya mawimbi ya maji yakikwamisha yale waliojiwekea, walidhani kuwa ipo siku wangeweza kutatua hayo yaliyowakumba lakini mwishoe walioambulia patupu, habari hii ni kwa wale wote waliopigana na maisha na hawakutegemea kuona mlango wa kutokea katika shida, matatizo, barries, ama jambo lolote walilopanga mwaka huu. Ningependa kuwashauri na kuwatia moyo kuwa wasikate tamaa na kuona kuwa hatawerza tena lipo tumaini la kuvuka ng'ambo ya mto na kutoka hapo walipo, kitu ambacho ningeweza kuwakumbusha ni kuondoa dhana ya kushindwa kuthubutu
ASANTE KWAKUTUKUMBUSHA KUWA KUKATA TAMAA NI DHAMBI
A kufanya kile ulichojiwekea mwaka huu au ile hali ya woga ya kutokuthubutu kutekeleza. Ukiondoa dhana hiyo potofu basi utaweza kutokea katika mlango wa pili wa mstakabali wa maisha yako nawe UTASHINDA vikwazo vilivyoko kwako. Napenda kuwatamkia baraka