Hivi wafahamu maana ya Mother Tongue? maana huwezi sema Black Americans hawajui kuongea Mother tongue...Wewe utoto unakusumbua! Unatakiwa ufanye kwanza utafiti kabla ya kuja hapa kubwata eti watanzania hawaongei kibantu, wakati kuna uzi humu tumefafanua jinsi kiswahili na lugha za asili zinavyoongelewa tz!
Pitia hapa The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues
Julius kambarage Nyerere!Greate leaders fail spectacularly na hapo ndipo Nyerere alianguka vibaya sana. Analosema ni jambo la upuzi sana. Kwanini kaitwa Julius Nyerere? Kwanini asibadilishe majina yake yawe ya waswahili? Mkosa mila ni mtumwa
Nimekupa hiyo link ili upitie mijadala ya huko upate elimu maana sio kuniuliza kujua maana ya mother tongue! Hilo swali anapaswa kuulizwa mwananguHivi wafahamu maana ya Mother Tongue? maana huwezi sema Black Americans hawajui kuongea Mother tongue...
Asante mkuu. Kuna wakati niliona video kama ingawa sikujua ni watu wa nchi gani. Kilo chombo kinachopigwa pale na yule kijana ambaye amevaa red kinaitwa ishiriri kwa lugha yangu.
Ben pol anatoka Dodoma katikati ya nchi na ana nyimbo za kilugha pia..Sio Watanzania wote huwa wametelekeza asili yao, hususan Watanzania wanaoishi kwenye mipaka na nchi jirani. Ukiangalia kwa mfano huyo Saida Kaloli ametokea kwa Wahaya, nyimbo zake huwa zinapendwa sana Uganda maana Wahaya wapo mpakani na nchi hiyo.
Ukienda hata kule Kigoma wanapenda sana kucheza nyimbo zao za asili maana wamepakana na Warundi. Pia ukienda kwa Wanyakyusa kule Mbeya unakuta wamekaribiana na Zambia, Kwa kifupi ukiangalia Watanzania ambao bado wanapenda lugha zao za asili utakuta kwa njia moja au nyingine wanatengamana na makabila ya kutokea nchi jirani.
Lakini ukiingia ingia ndani wengi hata hawajui salamu kwa lugha za asili, kazi kuvaa milegezo hapo Dar na kupaka 'poda'.
Ben pol anatoka Dodoma katikati ya nchi na ana nyimbo za kilugha pia..
Wasukuma pia wana nyimbo zao ingia youtube. Hata Lady Jaydee (Judith Wambura) ana nyimbo za kilugha. Mwache kujilazimishia ujuaji mkitaka kujua kama Watanzania wako pia fit huko leteni tamasha la nyimbo za kikabila muone kama mtaweza gemu. The largest traditional music festival in Africa is Sauti za Busara that takes place in Zanzibar every year!
Katikati unamaanisha mkoa upi ili nikupe nyimbo za makabila ya mikoa hiyo?Sio Watanzania wote huwa wametelekeza asili yao, hususan Watanzania wanaoishi kwenye mipaka na nchi jirani. Ukiangalia kwa mfano huyo Saida Kaloli ametokea kwa Wahaya, nyimbo zake huwa zinapendwa sana Uganda maana Wahaya wapo mpakani na nchi hiyo.
Ukienda hata kule Kigoma wanapenda sana kucheza nyimbo zao za asili maana wamepakana na Warundi. Pia ukienda kwa Wanyakyusa kule Mbeya unakuta wamekaribiana na Zambia, Kwa kifupi ukiangalia Watanzania ambao bado wanapenda lugha zao za asili utakuta kwa njia moja au nyingine wanatengamana na makabila ya kutokea nchi jirani.
Lakini ukiingia ingia ndani wengi hata hawajui salamu kwa lugha za asili, kazi kuvaa milegezo hapo Dar na kupaka 'poda'.
Nasubiri unitajie hao watanzania waliomezwa ili nikupe nyimbo zao upate burudaniNimesema Watanzania waliopakana na mataifa majirani bado hawajawa watumwa, wamefaulu kudumisha asili zao, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, Wamaasai n.k. Lakini wengine wote walishamezwa, wengi hata hawajui salamu kwa lugha zao.
Achana na hili Bwabwa linapenda kujizushia linachojua juu ya wengine. Linashindwa kujua utamaduni upo na linapokuja suala la mjumuiko na makabila mengineyo kabila na lugha ni utani na burudani tu maana tuna Kiswahili kila Mtanzania anaongea. Unawakuta Wakikuyu wawili mbele ya kundi la wasio Wakikuyu wakiwasengenya mbele yenu tena bila ya aibu. Huo ujima tuliacha siku nyingii kwa kupitia ustaarabu wetu kama Taifa.Nasubiri unitajie hao watanzania waliomezwa ili nikupe nyimbo zao upate burudani
Nasubiri unitajie hao watanzania waliomezwa ili nikupe nyimbo zao upate burudani
Tatizo upo egocentric na unaleta mentality yako ya Kenya Tanzania. A fact I find u stupid culture is not all on Kenyan perspective. U need to learn n respect other people way of living young man. Kenya is not the best example to be proud of as far as honoring culture.Nyimbo wanazo sijabisha hilo, maana kila kabila dunia hii lina nyimbo zake za asili kama ilivyo kwamba wana lugha zao za asili, lakini ninachosema ni kwamba walishazitelekeza. Kupata nyimbo za asili sio issue, mbona kazi ya dakika chache tu, lakini cha msingi ni kwamba unakuta watu wa pale wengi hata hawana shughuli nazo na hawaziimbi wala kuongea lugha zao.
Hapa naweza nikakupa nyimbo za kizaramo, lakini kuwakuta wazaramo kitaa wakiziimba au wakiongea ongea lugha yao ya asili ni vigumu, wengi hawajui hata salamu na ndio taswira maeneo mengi Tanzania, watu wanaishi kama watumwa, hawajui asili yao na hawafundishi watoto wao mila na desturi zao. Mtoto anakua kama wale Wamarekani weusi wasiokua na asili wala kujua walitokea wapi. Wao hujua kwao ni Afrika, lakini hawajui chochote zaidi ya hapo na hutukanwa sana.