Je, watanzania tunataka na kuhitaji kitu gani?

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
Je,vita na kilio cha watanzania ni kuhusu nini? ufisadi?

Je, tunapigania matokeo ya mfumo mbovu au ni hisia zaidi kuliko asili ya tatizo linalotukabili?

Je, vita yetu ni vita dhidi ya Impunity na kusita sita kwa serikali kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahujumu uchumi na wabaka uchumi?

Je, ni kilio cha kutaka maisha bora kwa kila mtanzania, utawala bora na equal opportunity kwa kila mtanzania?

Je, ni kuwataja kwa majina mafisadi pekee na kukaa kutizama?
Kama ufisadi ni matokeo ya mfumo Fulani; Je nini kifanyike? Je ni bora kuondoa tatizo au kutibu matokeo? Au vyote? Kipi kianze?

Je, Kipaumbele cha watanzania katika vuguvugu hili ni nini? Je ni kuimba wimbo dhidi ya ufisadi? Je, ufisadi ni matokeo au ndio chanzo cha matatizo yanayotukabili?

Naomba jibu.
 
1. corruption is number one probrem
2. Displine and integrity in public office is number two problem
3. Talking too much without Action plan and implemention of Agreed terms is number three

Solution: Wasomi wametuangusha sana, ni mpaka ifike mahali wasaidiwe na wananchi wa kawaida, ni rahisi kuwatawala wasomi kwa mizengwe kuliko wasiosoma kwani kesho wanaweza kuingia mtaani kwa nguvu ya umma na kusolve problem no 1, 2 and 3.
 

And what are the causes of corruption? maana yake huko ndo kwenye mzizi!
 
And what are the causes of corruption? maana yake huko ndo kwenye mzizi!

Kwa maoni yangu, Corruption imetokana na mfumo mbovu wa utawala. Mfumo wa Utawala usio na malengo endelevu ya jinsi ya kuongoza kwa usawa, haki, uadilifu na unaoruhusu mianya mingi ya ubadhilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…