Je,vita na kilio cha watanzania ni kuhusu nini? ufisadi?
Je, tunapigania matokeo ya mfumo mbovu au ni hisia zaidi kuliko asili ya tatizo linalotukabili?
Je, vita yetu ni vita dhidi ya Impunity na kusita sita kwa serikali kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahujumu uchumi na wabaka uchumi?
Je, ni kilio cha kutaka maisha bora kwa kila mtanzania, utawala bora na equal opportunity kwa kila mtanzania?
Je, ni kuwataja kwa majina mafisadi pekee na kukaa kutizama?
Kama ufisadi ni matokeo ya mfumo Fulani; Je nini kifanyike? Je ni bora kuondoa tatizo au kutibu matokeo? Au vyote? Kipi kianze?
Je, Kipaumbele cha watanzania katika vuguvugu hili ni nini? Je ni kuimba wimbo dhidi ya ufisadi? Je, ufisadi ni matokeo au ndio chanzo cha matatizo yanayotukabili?
Naomba jibu.