Uliza wana CCM wangapi wamehudhuria mkutano huo.View attachment 3664793
Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe.
Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa.
Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa!
Nafikiri ntaeleweka.