Je, Watanzania wangapi wamehudhuria mkutano huu kupitia mtandao kama ulivyoitishwa na balozi wetu nchini Marekani?

Richard

Platinum Member
Joined
Oct 23, 2006
Posts
16,890
Reaction score
26,440


Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe.

Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa.

Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa!

Nafikiri ntaeleweka.
 
Uliza wana CCM wangapi wamehudhuria mkutano huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…