Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Mkuu napingana naww, utaendeleaje kiuchumi Kwa kutegemea 3R TU?Kitu cha muhimu ni kuwa na 3Rs.
Reading
Writing
Numeracy.
Zaidi ya hapo ni mbwembwe tu zisizo na msingi wowote zaidi ya kuwapotezea wananchi muda wa kwenda shambani.
Wanaotaka kubobea kwenye uchumi, STEM waachwe wabobee. Lakini isiwe lazima kwa kila mwanafunziMkuu napingana naww, utaendelea kiuchumi Kwa kutegemea 3R TU?
Bado idadi ya wasomi ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya watuWanaotaka kubobea kwenye uchumi, STEM waachwe wabobee. Lakini isiwe lazima kwa kila mwanafunzi
STEM stands for Science, Technology, Engineerimg and Mathematics.
Hawa wasomi waliopo kwa sasa wana mchango unaotarajiwa na jamii ?Bado idadi ya wasomi ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya watu
KwAhyo ratio hakuna watalomudu huo ndo ukweliHawa wasomi waliopo kwa sasa wana mchango unaotarajiwa na jamii ?
Kwa hiyo uchache wa hawa wasomi ndio umepelekea wengine wao wajiingize kwenye shughuli zisizohitaji usomi kama kuendesha Bodaboda ?KwAhyo ratio hakuna watalomudu huo ndo ukweli
Hilo ni swala la kisiasa zaidiKwa hiyo uchache wa hawa wasomi ndio umepelekea wengine wao wajiingize kwenye shughuli zisizohitaji usomi kama kuendesha Bodaboda ?
KWa wenye umri above 25 ni asilimia 2.6 tuKatika 60m, ni % ngapi ni watu above 18%?
Sasa hii % ndio deal nayo
Hilo tatzo lipo kisiasa na consequences zakua against unazijua tuaçhane naloTatizo ni nini? Woote hao wenye MS na PhD wanasema HAWAMDAI MAMA.
Hawa wasomi waliopo sasa hasa hasa hawa walio somea uchumi na mambo ya teknolojia wana mchango gani kwa taifa?Bado idadi ya wasomi ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya watu
NI Hadhi baada ya kuwa na machapisho mengi Kwa watu wa PhD kwamm navojua na hausomw darasaniUprofesa siyo kiwango cha elimu.
Wanamchango mkubwa tuHawa wasomi waliopo sasa hasa hasa hawa walio somea uchumi na mambo ya teknolojia wana mchango gani kwa taifa?
Ina tegemea uko wapi, Hapa kwetu professor ni yeyote mwenye PhD, wengine wanajiita Doctor.Uprofesa siyo kiwango cha elimu.
NO REFORMS, NO ELECTION.Kwa mujibu wa makadirio ya sensa ya mwaka 2022, Tanzania ina takribani watanzania milioni 60. Kati ya hao, idadi ya waliopata elimu ya juu (yaani kuanzia Diploma, Degree, Masters hadi PhD/Profesa) ni ndogo sana ukilinganisha na ukubwa wa idadi hiyo.
Takwimu Muhimu (Elimu ya Juu kwa Watu Wenye Miaka 25 na Zaidi):
(Chanzo: Charting the Globe – Educational Attainment in Tanzania)
- 2.6% ya Watanzania wana elimu ya baada ya sekondari (diploma na kuendelea).
- Kwa idadi ya watu milioni 60, hii ni sawa na takribani 1,560,000 watu.
Tofauti kati ya Miji na Vijijini (Utafiti wa ResearchGate, 2024):
- Vijijini: Wanawake wenye elimu ya diploma au chuo kikuu ni 0.5%
- Miji mingine (nje ya Dar): Wanawake wenye elimu ya juu ni 3.6%
- Dar es Salaam: Wanawake wenye elimu ya diploma au shahada ni 7.5%
(Chanzo: ResearchGate – “Growing Through Cities in Tanzania”, 2024)
Sekta Rasmi ya Ajira (Utafiti wa NBS 2022/23):
(Idadi ilichukuliwa kati ya wafanyakazi 1,367 walioajiriwa rasmi)
- PhD holders: 0.7%
- Master’s holders: 2.5%
- Bachelor/Diploma ya Juu: 32.3%
- Diploma ya Kawaida: 31.9%
(Chanzo: NBS Employment and Earnings Survey 2022/23)
Hitimisho:
Licha ya ongezeko la vyuo na nafasi za elimu ya juu, Watanzania wenye elimu kuanzia diploma hadi profesa bado ni wachache – wengi wakitokea mijini kama Dar es Salaam. Changamoto bado ipo vijijini, ambako upatikanaji wa elimu ya juu ni mdogo sana.
Tatizo ni uchache wa wasomi au uchache wa fursa za ajira ;Hilo ni swala la kisiasa zaidi