Je watawala wetu (ssm) mkiiona Adis Ababa,Ethiopia miaka 5 Vs Dar,Tanzania miaka 60 mnajisikiaje??

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,077
Reaction score
1,736
Mimi si mpenzi wa siasa,lakini naweza kusema ni mpenzi wa kulinganisha mambo hasa uchumi.

Jiji la Adis ababa limetoka kutoka jiji la kawaida kuwa jiji lenye hadhi ya juu ya kimataifa ndani ya miaka 5 tu ya utawala wa Abby Ahmed.

Wakati huo huo tuna jiji la Dar es salaam ambalo limejengwa kwa miaka 60 lakini halina hadhi kabisa kimataifa!

Kwa ambao hamjawai tembea mnawe msinielewe!!…

IMG_9974.jpeg
IMG_9973.jpeg
IMG_9971.jpeg
IMG_9970.jpeg
IMG_9972.jpeg
 
Attachments

  • IMG_9969.jpeg
    IMG_9969.jpeg
    624.5 KB · Views: 14
Mimi si mpenzi wa siasa,lakini naweza kusema ni mpenzi wa kulinganisha mambo hasa uchumi.

Jiji la Adis ababa limetoka kutoka jiji la kawaida kuwa jiji lenye hadhi ya juu ya kimataifa ndani ya miaka 5 tu ya utawala wa Abby Ahmed.

Wakati huo huo tuna jiji la Dar es salaam ambalo limejengwa kwa miaka 60 lakini halina hadhi kabisa kimataifa!

Kwa ambao hamjawai tembea mnawe msinielewe!!…
 
Huku wanachoweza ni kuhakikisha CCM na mbwa wenzao wanaendelea kubaki Madarakani ila hakuna kitu Tangible walichofanya ambacho wanaweza kujivunia yaani hakuna si Afya, Elimu, Miundombinu Wala rasilimali watu.
Aisee
 
Back
Top Bottom