Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?Kwa Makka wenyeji ni waarabu wa Koo za kikuraishi.
Ndio walikuwa watawala na walikuwa wanalinda Kaaba.
Mmmh...Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?
Namaanisha Kaaba BCE ilikuwepo? I thought it came to existence CE.Mmmh...
Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?
Elewa swali la mleta uzi na elewa jawabu alilopatiwa.Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?
Sasa ndugu, kwani Kaaba ilijengwa na nani?Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.
Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
Hija haijaanza leo wala jana Toka wakati wa Ibrahim wanahiji, Mtu anazaliwa watu wanahiji hapo na kuna watu walikua wanaitwa Hanafi ambao walikua wakifuata Dini ya Ibrahim.Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?
Bedouin ni waarabu wa jangwani wafugaji hawajawahi kuwa Walinzi wa kaaba, miaka yote Qaaba inalindwa na Qurayshi, na mtume ametoka kabila hilo hilo ambalo lineage yake inatoka moja kwa moja hadi kwa Ismail na Ibrahim.Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.
Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
Kaaba ilikuwepo kabla ya Muhammad na kabla ya Uislamu.Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?
Ilikuwepo BCE na ilikuwa zaidi ya mojaNamaanisha Kaaba BCE ilikuwepo? I thought it came to existence CE.
Kaaba imejengwa kwa vipindi tofauti tofauti kabla ya hii ya sasa.Sasa ndugu, kwani Kaaba ilijengwa na nani?
Sijakuelewa sentensi yako unaweza ukaiweka vizuri?Kaaba imejengwa kwa vipi di tofauti tofauti kabla ya hii ya sasa
Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.Kaaba ilikuwepo kabla ya Muhammad na kabla ya Uislamu.
Ilikuwa ni sehemu wanayoenda kuhiji na kuomba kwa Miungu yao Al Lat, Al Huzzah na AL Manat.
Mungu wao mkuu aliitwa Hubal na walifanya kama leo mnabyofanya mkienda kuhiji.
Nyengine ilijengwa wapi ndugu?Ilikuwepo BCE na ilikuwa zaidi ya moja
By then zikitumikaje hizo Kaaba?Ilikuwepo BCE na ilikuwa zaidi ya moja
Inasemwa Adam alikuwa Moslem.Kaaba ilikuwepo kabla ya Muhammad na kabla ya Uislamu.
Ilikuwa ni sehemu wanayoenda kuhiji na kuomba kwa Miungu yao Al Lat, Al Huzzah na AL Manat.
Mungu wao mkuu aliitwa Hubal na walifanya kama leo mnabyofanya mkienda kuhiji.