Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?
Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.

Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
 
Sasa ndugu, kwani Kaaba ilijengwa na nani?
 
Bedouin ni waarabu wa jangwani wafugaji hawajawahi kuwa Walinzi wa kaaba, miaka yote Qaaba inalindwa na Qurayshi, na mtume ametoka kabila hilo hilo ambalo lineage yake inatoka moja kwa moja hadi kwa Ismail na Ibrahim.

Unachosema hapa ni kama mtu aulize wakazi wa Dar es Salaam then ujibu walikua ni wamaasai.
 
Kwamba Kaaba ilikuwepo toka enzi? Ilikuwa na kazi gani Kaaba enzi hizo za kale sana?
Kaaba ilikuwepo kabla ya Muhammad na kabla ya Uislamu.
Ilikuwa ni sehemu wanayoenda kuhiji na kuomba kwa Miungu yao Al Lat, Al Huzzah na AL Manat.

Mungu wao mkuu aliitwa Hubal na walifanya kama leo mnabyofanya mkienda kuhiji.
 
Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.

Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.

Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
 
Kaaba ilikuwepo kabla ya Muhammad na kabla ya Uislamu.
Ilikuwa ni sehemu wanayoenda kuhiji na kuomba kwa Miungu yao Al Lat, Al Huzzah na AL Manat.

Mungu wao mkuu aliitwa Hubal na walifanya kama leo mnabyofanya mkienda kuhiji.
Inasemwa Adam alikuwa Moslem.
 
Back
Top Bottom