Ulichonipatia hakuna jawabu hapo labda na wewe uwe haujasoma yaani ume copy na ku paste.Many do not know that there were 26 Kaabas in the Arabian Peninsula and that the Meccan Kaaba was just one of them. There was nothing unique about it.
View attachment 3136175
https://oilgasindustries.quora.com › ...
https://oilgasindustries.quora.com/...do not know that,was nothing unique about it.
How many Kaaba was there in the Arabian Peninsula?
Fupisha maelezo, naamini ulijifunza kuandika barua ya simu shule ya msingi.Hili jawabu linahitaji maelezo marefu sana na sidhani kama tutamtendea haki zaidi mleta Uzi.
Ibrahim hakuwa myahudi kiimani wala kinasaba.Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba
Kitabu cha kale ambacho tungeona habari za kuthibitisha Ibrahimu kwenda Mecca ni biblia,ila icho kitu haukioni hapo ndio waislam wasomi kama wewe unatakiwa uhoji, maana kitabu kilichomwelezea vizuri Ibrahim ni Biblia na nyie kukisoma sio shida maana ameamrishwa.Dini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.
Dini ya Hanafi ilikuwepo kabla ya Mtume, na ipo recorded kihistoria, why uisilamu udanganye kitu ambacho tayari inajulikana?
Hanafi/Hunafa ni dini ambayo ina fuata mafundisho ya Ibrahim ilikuwepo mecca kabla ya Mtume wetu Muhammad (S. A. W) hajazaliwa, wapo kwenye Hio kaaba ya maelfu ya miaka na wapo recorder kwenye vitabu vya kigiriki way before hata Quran Haijashushwa.
Tafuta kitabu kinaitwa "Ecclesiastical History of Sozomen" ambacho kimeandikwa kabla ya uisilamu inaelezea dini ya Ibrahim ambayo waarabu walikua wanafuata.
Kuna mambo mawiliKitabu cha kale ambacho tungeona habari za kuthibitisha Ibrahimu kwenda Mecca ni biblia,ila icho kitu haukioni hapo ndio waislam wasomi kama wewe unatakiwa uhoji, maana kitabu kilichomwelezea vizuri Ibrahim ni Biblia na nyie kukisoma sio shida maana ameamrishwa.
Ni ibrahimBaba yake Jacob ni nani?
Babu yake Jacob ni nani?
Thats not how things work, kwa muktadha huu hakuna koo wala makabila maana sote tunatoka kwa Adam.Na jacob babu yake ni nani?
Kuna uwezekano wa baba msukuma kuzaa mtoto mmakonde?
Dini ya Ibrahim ni monotheism, kumuamini Mungu mmoja na kutomshirikisha, ipo referenced kwenye Bible, Quran na history za zamani kwenye scriptures Kigiriki kama "god-fearer"Dini ya Ibrahim ndio ipi waliyokifuata hao Hanaf?
Umetoa andiko la mwanzo 21:14-21 hili andiko halioneshi chochote kwamba Ibrahimu na Ishamael walifika Mecca na kujenga Kaaba badala yake inaonyesha Ishamael aliondoka na Mama yake sio baba yakeKuna mambo mawili
1. Utamconvice Mkristo kwa Biblia
2. Utamconvice Historian kwa Historia, mtaalam yoyote wa Historia inabidi utumie historia, kama hicho kitabu cha juu nilichoeka.
Tuje kwenye Biblia
Kuna reference nyingi tu za Ibrahim, ismail na Hajjar
“As they pass through the Valley of Baka, they make it a place of springs; the autumn rains also cover it with pools.” (Psalm 84:6)
Baka ni Makkah kwa reference ya Bible na Quran
Ukitoa hio kuna na hii
Early the next morning Abraham took some food and a skin of water and gave them to Hagar. He set them on her shoulders and then sent her off with the boy. She went on her way and wandered in the Desert of Beersheba. When the water in the skin was gone, she put the boy under one of the bushes. Then she went off and sat down about a bowshot away, for she thought, “I cannot watch the boy die.” And as she sat there, she began to sob. God heard the boy crying, and the angel of God called to Hagar from heaven and said to her, “What is the matter, Hagar? Do not be afraid; God has heard the boy crying as he lies there. Lift the boy up and take him by the hand, for I will make him into a great nation.” Then God opened her eyes and she saw a well of water. So she went and filled the skin with water and gave the boy a drink. God was with the boy as he grew up. He lived in the desert and became an archer. 21 While he was living in the Desert of Paran, his mother got a wife for him from Egypt. (Genesis 21:14-21)
So sijui mwenzetu unasema Biblia ipi.
Inatamkwa BC Kwa kifupi na AC.....!Namaanisha Kaaba BCE ilikuwepo? I thought it came to existence CE.
Old school! Shetani anawashwa hiyo C kwenye BC!Inatamkwa BC Kwa kifupi na AC.....!
All in all BC Kaaba haikuwepo Kwa namna ya Sasa.
The Demolition of Dhul-Khalasa[1] occurred in April and May 632 CE, in 10 AH of the Islamic calendar. Sources refer to Dhul-Khalasa, (Arabic: ذُو الْخَلَصَة ḏū l-ḵalaṣa), as both a cult image and as a temple, venerated by some Arabian tribes.[2] Muhammad sent his companion Jarir ibn ʿAbdullah al-Bajali [ar], to destroy the image, leaving theNyengine ilijengwa wapi ndugu?
Ukweli upo wazi kama una macho utaona, kama una masikio utasikia.Ulichonipatia hakuna jawabu hapo labda na wewe uwe haujasoma yaani ume copy na ku paste.
Ametoa madai tu ila hajatoa source yoyote na ndicho ambacho unachokifanya wewe.
Bado hujatoa ushahidi.
Mkuu the real mount Sinai, Bacca, Paaran ni Arabia, kuna evidence kibao, at this point kama mtu unakataa it's just you.Umetoa andiko la mwanzo 21:14-21 hili andiko halioneshi chochote kwamba Ibrahimu na Ishamael walifika Mecca na kujenga Kaaba badala yake inaonyesha Ishamael aliondoka na Mama yake sio baba yake
Ukija kwenye kitabu cha Zaburi 84: 6 imetajwa bacca ikiwa na maana ya bonde la vilio na hili bonde lipo karibu na Yerusalem sio Saudia Arabia kama Mecca ya leo ilipo, kwaio utaona kwenye muktadha wa Biblia Ibrahimu hajawahi kufika Mecca na Bacca maana yake sio maana ya Mecca.
Kwahiyo kwa mujibu wa Quran hao walikuwa ni waislamu?Dini ya Ibrahim ni monotheism, kumuamini Mungu mmoja na kutomshirikisha, ipo referenced kwenye Bible, Quran na history za zamani kwenye scriptures Kigiriki kama "god-fearer"
Je Allah alikuwa na mabinti watatu? Ni kweli am uwongo?Hija haijaanza leo wala jana Toka wakati wa Ibrahim wanahiji, Mtu anazaliwa watu wanahiji hapo na kuna watu walikua wanaitwa Hanafi ambao walikua wakifuata Dini ya Ibrahim.
Hata wa kurd na wa Yazid walikuwa na dini zao. Mudi muhuni tu wa kukopy paste na kuformart kwa maelekezo ya wakatolikiDini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.
Dini ya Hanafi ilikuwepo kabla ya Mtume, na ipo recorded kihistoria, why uisilamu udanganye kitu ambacho tayari inajulikana?
Hanafi/Hunafa ni dini ambayo ina fuata mafundisho ya Ibrahim ilikuwepo mecca kabla ya Mtume wetu Muhammad (S. A. W) hajazaliwa, wapo kwenye Hio kaaba ya maelfu ya miaka na wapo recorder kwenye vitabu vya kigiriki way before hata Quran Haijashushwa.
Tafuta kitabu kinaitwa "Ecclesiastical History of Sozomen" ambacho kimeandikwa kabla ya uisilamu inaelezea dini ya Ibrahim ambayo waarabu walikua wanafuata.
Ndo maana wa kurd wanawake hawataki kulazimishwa kuvaa hijab wanadai ni mila ya kiarabu.Ibrahim hakuwa myahudi kiimani wala kinasaba.
Kiimani alikuwa na imani yake aliyokuwa akiabudia na kinasaba alitokea Iraq katika eneo linalokaliwa na wa kurdi. Kama makurdi ni wayahudi labda utuambie hilo!
Kaa kwahiyo shetani naye huenda kupiga viatu vya Musa, sasa Musa alimkosea nini!Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.
Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
Ibrahim alimtoa Ishmael pale nyumbani akiwa mdogo kabisa, alijenga naye lini?Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?