Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Many do not know that there were 26 Kaabas in the Arabian Peninsula and that the Meccan Kaaba was just one of them. There was nothing unique about it.
View attachment 3136175
https://oilgasindustries.quora.com › ...
https://oilgasindustries.quora.com/...do not know that,was nothing unique about it.
How many Kaaba was there in the Arabian Peninsula?
Ulichonipatia hakuna jawabu hapo labda na wewe uwe haujasoma yaani ume copy na ku paste.

Ametoa madai tu ila hajatoa source yoyote na ndicho ambacho unachokifanya wewe.

Bado hujatoa ushahidi.
 
Dini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.

Dini ya Hanafi ilikuwepo kabla ya Mtume, na ipo recorded kihistoria, why uisilamu udanganye kitu ambacho tayari inajulikana?

Hanafi/Hunafa ni dini ambayo ina fuata mafundisho ya Ibrahim ilikuwepo mecca kabla ya Mtume wetu Muhammad (S. A. W) hajazaliwa, wapo kwenye Hio kaaba ya maelfu ya miaka na wapo recorder kwenye vitabu vya kigiriki way before hata Quran Haijashushwa.

Tafuta kitabu kinaitwa "Ecclesiastical History of Sozomen" ambacho kimeandikwa kabla ya uisilamu inaelezea dini ya Ibrahim ambayo waarabu walikua wanafuata.
Kitabu cha kale ambacho tungeona habari za kuthibitisha Ibrahimu kwenda Mecca ni biblia,ila icho kitu haukioni hapo ndio waislam wasomi kama wewe unatakiwa uhoji, maana kitabu kilichomwelezea vizuri Ibrahim ni Biblia na nyie kukisoma sio shida maana ameamrishwa.
 
Kuna mambo mawili
1. Utamconvice Mkristo kwa Biblia
2. Utamconvice Historian kwa Historia, mtaalam yoyote wa Historia inabidi utumie historia, kama hicho kitabu cha juu nilichoeka.

Tuje kwenye Biblia
Kuna reference nyingi tu za Ibrahim, ismail na Hajjar

“As they pass through the Valley of Baka, they make it a place of springs; the autumn rains also cover it with pools.” (Psalm 84:6)

Baka ni Makkah kwa reference ya Bible na Quran

Ukitoa hio kuna na hii

Early the next morning Abraham took some food and a skin of water and gave them to Hagar. He set them on her shoulders and then sent her off with the boy. She went on her way and wandered in the Desert of Beersheba. When the water in the skin was gone, she put the boy under one of the bushes. Then she went off and sat down about a bowshot away, for she thought, “I cannot watch the boy die.” And as she sat there, she began to sob. God heard the boy crying, and the angel of God called to Hagar from heaven and said to her, “What is the matter, Hagar? Do not be afraid; God has heard the boy crying as he lies there. Lift the boy up and take him by the hand, for I will make him into a great nation.” Then God opened her eyes and she saw a well of water. So she went and filled the skin with water and gave the boy a drink. God was with the boy as he grew up. He lived in the desert and became an archer. 21 While he was living in the Desert of Paran, his mother got a wife for him from Egypt. (Genesis 21:14-21)

So sijui mwenzetu unasema Biblia ipi.
 
Na jacob babu yake ni nani?

Kuna uwezekano wa baba msukuma kuzaa mtoto mmakonde?
Thats not how things work, kwa muktadha huu hakuna koo wala makabila maana sote tunatoka kwa Adam.

Unapoongelea Israel ni kizazi cha Jacob, Ibrahim mwenyewe aliamua kuwatenganisha watoto wake, na kuvipa vizazi vyake mataifa na koo tofauti,

Si Ismail wala Jacob alieendelea kukaa eneo la baba yake, na hivyo walivyovianzisha ndio leo hii unavyoona kama waarabu na waisrael.
 
Kuna mambo mawili
1. Utamconvice Mkristo kwa Biblia
2. Utamconvice Historian kwa Historia, mtaalam yoyote wa Historia inabidi utumie historia, kama hicho kitabu cha juu nilichoeka.

Tuje kwenye Biblia
Kuna reference nyingi tu za Ibrahim, ismail na Hajjar

“As they pass through the Valley of Baka, they make it a place of springs; the autumn rains also cover it with pools.” (Psalm 84:6)

Baka ni Makkah kwa reference ya Bible na Quran

Ukitoa hio kuna na hii

Early the next morning Abraham took some food and a skin of water and gave them to Hagar. He set them on her shoulders and then sent her off with the boy. She went on her way and wandered in the Desert of Beersheba. When the water in the skin was gone, she put the boy under one of the bushes. Then she went off and sat down about a bowshot away, for she thought, “I cannot watch the boy die.” And as she sat there, she began to sob. God heard the boy crying, and the angel of God called to Hagar from heaven and said to her, “What is the matter, Hagar? Do not be afraid; God has heard the boy crying as he lies there. Lift the boy up and take him by the hand, for I will make him into a great nation.” Then God opened her eyes and she saw a well of water. So she went and filled the skin with water and gave the boy a drink. God was with the boy as he grew up. He lived in the desert and became an archer. 21 While he was living in the Desert of Paran, his mother got a wife for him from Egypt. (Genesis 21:14-21)

So sijui mwenzetu unasema Biblia ipi.
Umetoa andiko la mwanzo 21:14-21 hili andiko halioneshi chochote kwamba Ibrahimu na Ishamael walifika Mecca na kujenga Kaaba badala yake inaonyesha Ishamael aliondoka na Mama yake sio baba yake

Ukija kwenye kitabu cha Zaburi 84: 6 imetajwa bacca ikiwa na maana ya bonde la vilio na hili bonde lipo karibu na Yerusalem sio Saudia Arabia kama Mecca ya leo ilipo, kwaio utaona kwenye muktadha wa Biblia Ibrahimu hajawahi kufika Mecca na Bacca maana yake sio maana ya Mecca.
 
Inatamkwa BC Kwa kifupi na AC.....!
All in all BC Kaaba haikuwepo Kwa namna ya Sasa.
Old school! Shetani anawashwa hiyo C kwenye BC!

Badala yake ame-introduce ya kwake BCE (Before Common Era) na CE (Common Era) to replace BC and AD respectively.

Ukiwaukiza hiyo "common era" reference point yake ni ipi wanaishia kukodoa mimacho tu!
 
Nyengine ilijengwa wapi ndugu?
The Demolition of Dhul-Khalasa[1] occurred in April and May 632 CE, in 10 AH of the Islamic calendar. Sources refer to Dhul-Khalasa, (Arabic: ذُو الْخَلَصَة ḏū l-ḵalaṣa), as both a cult image and as a temple, venerated by some Arabian tribes.[2] Muhammad sent his companion Jarir ibn ʿAbdullah al-Bajali [ar], to destroy the image, leaving the
Ulichonipatia hakuna jawabu hapo labda na wewe uwe haujasoma yaani ume copy na ku paste.

Ametoa madai tu ila hajatoa source yoyote na ndicho ambacho unachokifanya wewe.

Bado hujatoa ushahidi.
Ukweli upo wazi kama una macho utaona, kama una masikio utasikia.
Ulitaka ushahidi upi?
Kaaba halikuwa special kwa Makka peke yake
 
Umetoa andiko la mwanzo 21:14-21 hili andiko halioneshi chochote kwamba Ibrahimu na Ishamael walifika Mecca na kujenga Kaaba badala yake inaonyesha Ishamael aliondoka na Mama yake sio baba yake

Ukija kwenye kitabu cha Zaburi 84: 6 imetajwa bacca ikiwa na maana ya bonde la vilio na hili bonde lipo karibu na Yerusalem sio Saudia Arabia kama Mecca ya leo ilipo, kwaio utaona kwenye muktadha wa Biblia Ibrahimu hajawahi kufika Mecca na Bacca maana yake sio maana ya Mecca.
Mkuu the real mount Sinai, Bacca, Paaran ni Arabia, kuna evidence kibao, at this point kama mtu unakataa it's just you.

Sababu leo hii kuna Eneo Egpty Iinaitwa Sinai ama Paaran halimaanishi ndio eneo la zamani linalozungumziwa hapa.

Kuna eneo Saudia Arabia ambalo Scientifically limekuwa tested kwamba ndio Sinai ya zamani ya Mussa.

Hapa Angalia Scripture za Wayahudi zikionesha Sinai/paran kama sehemu walikuwepo Ishmailite (Waarabu)

Hapa explanation mbalimbali za Biblia, mpaka st Paul mtu ambaye wengi wana credit na Biblia anasema hilo

Ukitoa Biblia na scripture za Kiyahudi kuna Archaological studies kibao zinaonesha Hilo eneo ni Saudi ya Sasa.
 
Dini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.

Dini ya Hanafi ilikuwepo kabla ya Mtume, na ipo recorded kihistoria, why uisilamu udanganye kitu ambacho tayari inajulikana?

Hanafi/Hunafa ni dini ambayo ina fuata mafundisho ya Ibrahim ilikuwepo mecca kabla ya Mtume wetu Muhammad (S. A. W) hajazaliwa, wapo kwenye Hio kaaba ya maelfu ya miaka na wapo recorder kwenye vitabu vya kigiriki way before hata Quran Haijashushwa.

Tafuta kitabu kinaitwa "Ecclesiastical History of Sozomen" ambacho kimeandikwa kabla ya uisilamu inaelezea dini ya Ibrahim ambayo waarabu walikua wanafuata.
Hata wa kurd na wa Yazid walikuwa na dini zao. Mudi muhuni tu wa kukopy paste na kuformart kwa maelekezo ya wakatoliki
 
Ibrahim hakuwa myahudi kiimani wala kinasaba.

Kiimani alikuwa na imani yake aliyokuwa akiabudia na kinasaba alitokea Iraq katika eneo linalokaliwa na wa kurdi. Kama makurdi ni wayahudi labda utuambie hilo!
Ndo maana wa kurd wanawake hawataki kulazimishwa kuvaa hijab wanadai ni mila ya kiarabu.
 
Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.

Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
Kaa kwahiyo shetani naye huenda kupiga viatu vya Musa, sasa Musa alimkosea nini!
 
Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.

Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.

Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Ibrahim alimtoa Ishmael pale nyumbani akiwa mdogo kabisa, alijenga naye lini?
 
Back
Top Bottom