ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Mkuu the real mount Sinai, Bacca, Paaran ni Arabia, kuna evidence kibao, at this point kama mtu unakataa it's just you.
Sababu leo hii kuna Eneo Egpty Iinaitwa Sinai ama Paaran halimaanishi ndio eneo la zamani linalozungumziwa hapa.
Kuna eneo Saudia Arabia ambalo Scientifically limekuwa tested kwamba ndio Sinai ya zamani ya Mussa.
Hapa Angalia Scripture za Wayahudi zikionesha Sinai/paran kama sehemu walikuwepo Ishmailite (Waarabu)
Hapa explanation mbalimbali za Biblia, mpaka st Paul mtu ambaye wengi wana credit na Biblia anasema hilo
Ukitoa Biblia na scripture za Kiyahudi kuna Archaological studies kibao zinaonesha Hilo eneo ni Saudi ya Sasa.
Bado unachanganya mambo ukiacha kwamba mwanzo 21:14-21 haionyeshi Ibrahim hakuondoka na Ishamael na haionyeshi wanajenga Kaaba na kufika Mecca ila ukisoma vizuri hilo andiko mlima sinai unaonyesha upo misri na ndio maandiko yanasema hivyo sasa huo mlima sinai Unaosema upo Saudi Arabia ni andiko gani sheikh?Mkuu the real mount Sinai, Bacca, Paaran ni Arabia, kuna evidence kibao, at this point kama mtu unakataa it's just you.