Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Mkuu the real mount Sinai, Bacca, Paaran ni Arabia, kuna evidence kibao, at this point kama mtu unakataa it's just you.

Sababu leo hii kuna Eneo Egpty Iinaitwa Sinai ama Paaran halimaanishi ndio eneo la zamani linalozungumziwa hapa.

Kuna eneo Saudia Arabia ambalo Scientifically limekuwa tested kwamba ndio Sinai ya zamani ya Mussa.

Hapa Angalia Scripture za Wayahudi zikionesha Sinai/paran kama sehemu walikuwepo Ishmailite (Waarabu)

Hapa explanation mbalimbali za Biblia, mpaka st Paul mtu ambaye wengi wana credit na Biblia anasema hilo

Ukitoa Biblia na scripture za Kiyahudi kuna Archaological studies kibao zinaonesha Hilo eneo ni Saudi ya Sasa.

Bado unachanganya mambo ukiacha kwamba mwanzo 21:14-21 haionyeshi Ibrahim hakuondoka na Ishamael na haionyeshi wanajenga Kaaba na kufika Mecca ila ukisoma vizuri hilo andiko mlima sinai unaonyesha upo misri na ndio maandiko yanasema hivyo sasa huo mlima sinai Unaosema upo Saudi Arabia ni andiko gani sheikh?
 
Ibrahim alimfukuza mapema, na maisha ya huyo Ishmael alikuwa na mama yake, mbona wanashangaza walijenga lini na Ishmael 😂😂😂
 
Thats not how things work, kwa muktadha huu hakuna koo wala makabila maana sote tunatoka kwa Adam.

Unapoongelea Israel ni kizazi cha Jacob, Ibrahim mwenyewe aliamua kuwatenganisha watoto wake, na kuvipa vizazi vyake mataifa na koo tofauti,

Si Ismail wala Jacob alieendelea kukaa eneo la baba yake, na hivyo walivyovianzisha ndio leo hii unavyoona kama waarabu na waisrael.
Twende taratibu.
Kwa hiyo hata wewe (lets say ni msukuma) umepata watoto wawili wa kiume, unaweza kuamua kuwapa kila mmoja kabila lake, mfano mmoja akawa mpare na mwingine akawa mchaga?
 
Bado unachanganya mambo ukiacha kwamba mwanzo 21:14-21 haionyeshi Ibrahim hakuondoka na Ishamael na haionyeshi wanajenga Kaaba na kufika Mecca ila ukisoma vizuri hilo andiko mlima sinai unaonyesha upo misri na ndio maandiko yanasema hivyo sasa huo mlima sinai Unaosema upo Saudi Arabia ni andiko gani sheikh?
Wapi andiko limesema lipo Misri? Na pia sipendi "Trust me bro" sourced kama mimi ninavyoleta vifungu na wewe naomba vifungu ama scholar source. Nimekuletea source mbali mbali ikiwemo za Kiyahudi na st paul mwenyewe na wewe unaweza leta source kwamba Bible inasema Sinai ni Egpty?
 
Hija haijaanza leo wala jana Toka wakati wa Ibrahim wanahiji, Mtu anazaliwa watu wanahiji hapo na kuna watu walikua wanaitwa Hanafi ambao walikua wakifuata Dini ya Ibrahim.
Dini ya Ibrahimu ilikuwa inaitwaje? na ni kwa mujibu wa chanzo kipi cha taarifa?
 
Twende taratibu.
Kwa hiyo hata wewe (lets say ni msukuma) umepata watoto wawili wa kiume, unaweza kuamua kuwapa kila mmoja kabila lake, mfano mmoja akawa mpare na mwingine akawa mchaga?
Kama wakifanya kitu kikubwa yes inawezekana, UNAFKIRI koo Zinatokana na nini?

Nitakupa modern day Example, familia ya kifalme ya Saudia aka house of Al Saud,

Saud Halikua jina la ukoo, bali first name ya Saud ibn Muhammad ibn Muqrin, kutokana na mwanae kuwa founder Wa Saudi Arabia basi akachukua first name ya baba yake na kuanzisha ukoo wa Al saud ambao mpaka leo una rule Saudia Arabia. Kwanini? Ili kizazi chake ndio kitawale na sio watu wengine wa ukoo wao, ila ukiangalia kiasili kabisa ukoo wao ni Banu Hanifa.

So haya mambo hayajaanza leo wala jana na ndio exactly definition ya clan
 
Dini ya Ibrahimu ilikuwa inaitwaje? na ni kwa mujibu wa chanzo kipi cha taarifa?
Inaitwa Hanafi/Hunafa kiarabu, Thobeiseis kutoka Kigiriki, God fearer kingereza ama Waogopa Mungu kiswahili, na wapo kwa vyanzo vyote Quran, Biblia, script za kiyahudi, Kigiriki etc. Ilikua ni Monotheist Religion Ya kuamini Mungu mmoja.
 
Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba.
Aliishi eneo la Waisrael huko Judea.
Kwenye Imani yake hakuna sehemu anatakiwa aamini Kaaba.

Sasa alijenga kwa ajili ya nini?
Kwani kuna anayeamini kahaba?
 
Inaitwa Hanafi/Hunafa kiarabu, Thobeiseis kutoka Kigiriki, God fearer kingereza ama Waogopa Mungu kiswahili, na wapo kwa vyanzo vyote Quran, Biblia, script za kiyahudi, Kigiriki etc. Ilikua ni Monotheist Religion Ya kuamini Mungu mmoja.
Kwenye biblia wapi kumetajwa dini inaitwa hanafi? weka andiko hapa
 
Wapi andiko limesema lipo Misri? Na pia sipendi "Trust me bro" sourced kama mimi ninavyoleta vifungu na wewe naomba vifungu ama scholar source. Nimekuletea source mbali mbali ikiwemo za Kiyahudi na st paul mwenyewe na wewe unaweza leta source kwamba Bible inasema Sinai ni Egpty?
Hoja ni kuonyesha Ibrahimu alijenga Kaaba na Ishamael Mecca? Tusitoke kwenye hoja.
kwa mstari wa biblia uliyo Quote mwanzo 21:14-21 haionyeshi Ibrahimu akiondoka na Ishamael na kujenga kaaba Mecca bali inaonyesha Ishamael anaondoka na mama yake Hajir mwelekeo ambao hauwekwi wazi ila katika mlima sinai na mama ake alimwoza kwa mwanamke wa misri,Hoja yetu hapa ni wapi Ishamael anaenda na Ibrahimu Mecca kujenga Kaaba.
 
Kaaba ilijengwa na nabii Ibrahim bila Shaka
Kaaba sio jengo......ni Mahali matakatufu penye jiwe jeusi mbele ya Msikiti wa Makka Masjid Alharam.

Msikiti ambao kwa mujibu wa Waislam msingi wake ulijengwa na Nabii Adamu na kukamilishwa jengo na Nabii Ibrahim Alhysalam.

Kwa maana hiyo ukaitwa Msikiti wa Al Kaaba.

Kabla ya kuzaliwa Mtume Muhammad na Kabla ya kuzaliwa Baba Yake Abdallah na kabla ya kuzaliwa Babu yake Abu Twarib Al-kaaba ilikuwepo na ikiendeleza ibada ya Hijjah ya kipagani.

Kabla la Ukoo wa Makoreshi ndio lilikuwa Tukufu na ndilo hilo lenye mamlaka ya yoote juu ya yote ndani ya Saudia kwa sasa ni kina Salmin Mwana wa Mfalme.
 
Hoja ni kuonyesha Ibrahimu alijenga Kaaba na Ishamael Mecca? Tusitoke kwenye hoja.
kwa mstari wa biblia uliyo Quote mwanzo 21:14-21 haionyeshi Ibrahimu akiondoka na Ishamael na kujenga kaaba Mecca bali inaonyesha Ishamael anaondoka na mama yake Hajir mwelekeo ambao hauwekwi wazi ila katika mlima sinai na mama ake alimwoza kwa mwanamke wa misri,Hoja yetu hapa ni wapi Ishamael anaenda na Ibrahimu Mecca kujenga Kaaba.
Hakuna
 
Hapa ni PA kuanzia mkuu, usipokubali Parin ni Saudi ya sasa hayo mengine yote hayana maana.

Pia upo Ushahidi Ibrahim alienda kwa Ishamael mara kwa mara, na mPaka mke wa Kwanza Ishmael alimuacha baada ya Ibrahim kuja na mke kukataa kumhudumia.

Soma zaidi Hapa evidence za Torah

So ipo evidence Ibrahim kwenda huko apart from Islamic sources.
 
Kwenye biblia wapi kumetajwa dini inaitwa hanafi? weka andiko hapa
So Paul stood up, and motioning with his hand said: "Men of Israel, and you that fear God (οἱ φοβούμενοι τὸν θεόν), listen".

Brethren, sons of the family of Abraham, and those among you that fear God (ἐν ὑμῖν φοβούμενοι τὸν θεόν), to us has been sent the message of this salvation.

— Acts 13:26
Hao god fearer wametajwa mara kibao kwenye Bible na vitabu vya zamani vya kikristo,
 
Nimekwambia onyesha neno hanafi kuwa ni dini ya Ibrahimu, we unasema God fearer dini yake ni hanafi? Yaan kuwepo na hiyo dini halaf bible isiitaje hata mara moja huu ni uwongo.
 
Hapa ni PA kuanzia mkuu, usipokubali Parin ni Saudi ya sasa hayo mengine yote hayana maana.

Pia upo Ushahidi Ibrahim alienda kwa Ishamael mara kwa mara, na mPaka mke wa Kwanza Ishmael alimuacha baada ya Ibrahim kuja na mke kukataa kumhudumia.

Soma zaidi Hapa evidence za Torah

So ipo evidence Ibrahim kwenda huko apart from Islamic sources.

Hapa ni PA kuanzia mkuu, usipokubali Parin ni Saudi ya sasa hayo mengine yote hayana maana.

Pia upo Ushahidi Ibrahim alienda kwa Ishamael mara kwa mara, na mPaka mke wa Kwanza Ishmael alimuacha baada ya Ibrahim kuja na mke kukataa kumhudumia.

Soma zaidi Hapa evidence za Torah

So ipo evidence Ibrahim kwenda huko apart from Islamic sources.
Nmesoma ila hamna walipoandika Ibrahimu alijenga Kaaba na Ishamael!
 
Back
Top Bottom