Mkuu naomba ufafanuzi zaidi hapa, Dini ya Ibrahim ilikuwa dini ipi hasa ambapo mpaka watu walienda kuhiji?Hija haijaanza leo wala jana Toka wakati wa Ibrahim wanahiji, Mtu anazaliwa watu wanahiji hapo na kuna watu walikua wanaitwa Hanafi ambao walikua wakifuata Dini ya Ibrahim.
Hapa nimekupata, 🙏🙏🙏Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Ibrahim hajawahi kukanyaga ardhi ya Saudia, Ibrahim kaishi Iraq (ndipo alipozaliwa ) akaishi hapo panapoitwa Israel/Palestine leo na ndipo mahali alipopewa na mwenyezi Mungu na amewahi kwenda Misri kwa kukimbia njaa. Mwanae Ishamael hajawahi kua nae close maishani mwake, mama yake aliondoka kabla hata hajazaliwa, kitu pekee cha kiimani ambacho Ishimael aliwahi kukifanya kutoka kwa Imani ya baba yake ni kutahiriwa, baasi. Alipotea mazima though yeye na ndugu yake Isaka/Isaac/Isihaka ndio waliomzika baba yap baada ya KUFA kwake. Na Ibrahim alizikwa pamoja na mkewe Sara mahali panapoitwa Shekemu, sio mbali na Kaisaria mahali ambapo ndipo yalipo makazi na Benyamin Netanyahu ambayo yalishambuliwa JUZI.Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Leta ushahidi wa maandiko , maneno matupu hayasaidii niletee mstari wowote wa biblia(unambiguous verse) unaosema ibrahim alikuwa mkristo tusiandikie mate na wakati wino upo.Uislamu ulianzishwa na mtume Mohamed ambaye mama yake Jehanam mama wa Yesu Kristo amebarikiwa kuliko wanawake wotena ni mtu wa peponi kwa kujibu wa Qoran ambayo haukuwepo kabla ya mtume hivyo Ibrahim haujui.
Nyie ndiyo mnaamini kwamba ibrahim alitaka kumtoa sadaka isaka/ishaqa (alayhi salaam) badala ya ishmael/ismail(alayhi salaam)Ibrahim hajawahi kukanyaga ardhi ya Saudia, Ibrahim kaishi Iraq (ndipo alipozaliwa ) akaishi hapo panapoitwa Israel/Palestine leo na ndipo mahali alipopewa na mwenyezi Mungu na amewahi kwenda Misri kwa kukimbia njaa. Mwanae Ishamael hajawahi kua nae close maishani mwake, mama yake aliondoka kabla hata hajazaliwa, kitu pekee cha kiimani ambacho Ishimael aliwahi kukifanya kutoka kwa Imani ya baba yake ni kutahiriwa, baasi. Alipotea mazima though yeye na ndugu yake Isaka/Isaac/Isihaka ndio waliomzika baba yap baada ya KUFA kwake. Na Ibrahim alizikwa pamoja na mkewe Sara mahali panapoitwa Shekemu, sio mbali na Kaisaria mahali ambapo ndipo yalipo makazi na Benyamin Netanyahu ambayo yalishambuliwa JUZI.
Hao miungu walitengenezwa na makafir baada ya Ibrahim kuondokaKaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Kuna sehemu umeona nimeandika kuwa Ibrahim alikuwa mkristo? Mama yake Yesu pia hakuwa mkristo, Yesu mwenyewe hakuwa , kristo bali alikuwa ndiyo Kristo. Ukristo ni mfumo wa kumuabudu Mungu wa Ibrahim kwa kupitia kristo (mafundisho ya Yesu)-Tawi la Isaka mwana wa Ibrahim aliyemzaa Yakobo(Israel) mwenye watoto kumi na mbili ambayo ndiyo makabila 12 ya Israel . Uislamu ni mfumo wa kumuabudu Mungu wa Ibrahim kwa kupitia mafundisho na nasaha za, mtume -Tawi la Ismail mwana wa Ibrahim, Ismahili aliyezaa mashahidi 11 ambao ndiyo wafalme wa maarifa 12 ya kiarabu. . Uyahudi ni mfumo wa kumuabudu Mungu wa Ibrahim kupitia Torati ya Musa-Tawi la Isaka mwana wa Ibrahim aliyemzaa Yacobo(Israel) mwenye watoto kumi na mbili ambayo ndiyo makabila 12 ya IsraelLeta ushahidi wa maandiko , maneno matupu hayasaidii niletee mstari wowote wa biblia(unambiguous verse) unaosema ibrahim alikuwa mkristo tusiandikie mate na wakati wino upo.
Na hiyo uislamu kuanzishwa na mtume muhammad (peace be upon him) umeipata wapi? Leta angalau aya ya quran au hadith inayosapoti hiyo claim yako.
Kaabah tukufu iko tangu enzi ya nabii aadam swala na amani ziwe juu yake.Namaanisha Kaaba BCE ilikuwepo? I thought it came to existence CE.
Katika uisilamu Ibrahim alikua mpinga masanamu hata kabla hajawa mtume. Hajawahi kuwa muabudu masanamu.Mkuu naomba ufafanuzi zaidi hapa, Dini ya Ibrahim ilikuwa dini ipi hasa ambapo mpaka watu walienda kuhiji?
Katila Ukristo Wanaamini Ibrahim kabla ya kukutana na Mungu na kuwa Baba wa Imani zote za Kikristo na Kiislam yeye alikuwa Muamini wa miungu yao ya kutengeneza....au niseme alikuwa Muamini Masanamu, kwenu ikoje?
Hammaz Kinyungu
So ibrahim alikuwa dini gani?Kuna sehemu umeona nimeandika kuwa Ibrahim alikuwa mkristo? Mama yake Yesu pia hakuwa mkristo, Yesu mwenyewe hakuwa , kristo bali alikuwa ndiyo Kristo. Ukristo ni mfumo wa kumuabudu Mungu wa Ibrahim kwa kupitia kristo (mafundisho ya Yesu)-Tawi la Isaka mwana wa Ibrahim aliyemzaa Yakobo(Israel) mwenye watoto kumi na mbili ambayo ndiyo makabila 12 ya Israel . Uislamu ni mfumo wa kumuabudu Mungu wa Ibrahim kwa kupitia mafundisho na nasaha za, mtume -Tawi la Ismail mwana wa Ibrahim, Ismahili aliyezaa mashahidi 11 ambao ndiyo wafalme wa maarifa 12 ya kiarabu. . Uyahudi ni mfumo wa kumuabudu Mungu wa Ibrahim kupitia Torati ya Musa-Tawi la Isaka mwana wa Ibrahim aliyemzaa Yacobo(Israel) mwenye watoto kumi na mbili ambayo ndiyo makabila 12 ya Israel
Ibrahim alikuwa mcha Mungu kwa namna ambavyo Mungu alimueleze. Alafu unapaswa kutofautishwa sana ukristo na uislamu. H akuna dini ya ukristo iliyeshushwa kutoka mbinguni, ukristo ni namna ya. kumwabudu Mungu iliyotokana na Torati na mafundisho ya Yesu ,mwenyewe. Sisi wakristo neno dini huwa tnallisikia kwa waislamu pekee,, kifupi dini ni uislamu pekee. Sisi tuna taratibu zetu za kuabudu tumezitoa kwenye Torati na mwalimu mkuu wetu Yesu kristo, sisi ni wafasi wa Yesu kristo blaza, mambo ya dini ni yenu tuSo ibrahim alikuwa dini gani?
Hakuna kitu kama hichoKaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Wayahudi ni Waebrania na hadi leo wanazungumza hiyo lugha.Hao wayahudi wenyewe hawasemi Ibrahim ni myahudi, baba wa wayahudi ni mjukuu wa Ibrahim Yaqub ambaye watoto wake ndio makabila ya Israel.
Ibrahim ni mtu wa Iraq ya leo, kaishi huko Babylon. Kwa definition ya sasa ni mwarabu.
Ibrahim alikuwa mcha Mungu kwa namna ambavyo Mungu alimueleze. Alafu unapaswa kutofautishwa sana ukristo na uislamu. H akuna dini ya ukristo iliyeshushwa kutoka mbinguni, ukristo ni namna ya. kumwabudu Mungu iliyotokana na Torati na mafundisho ya Yesu ,mwenyewe. Sisi wakristo neno dini huwa tnallisikia kwa waislamu pekee,, kifupi dini ni uislamu pekee. Sisi tuna taratibu zetu za kuabudu tumezitoa kwenye Torati na mwalimu mkuu wetu Yesu kristo, sisi ni wafasi wa Yesu kristo blaza, mambo ya dini ni yenu tu
Kwa fikra yako na kwa namna nilivyokujibu bado unafikiri mm ni mtu wa kupelekwa. Kama uislamu ulikuwepo kabla y mtume Mohamed mtume alikuja kufanya nini? Uislamu ni dini iliyotengeneza ikichaganya mafundisho ya kiyahudi na kikristo. Sisi wakristo tumesema katika mafundisho ya Yesu Christo. Sisi mbinguni hatu tu hatutaulizwa maswala ya dini. Matendo yetu mema na imani yetu kwa kristo ndiyo itatuokoa. Mohamad mtume wenu alirogwa mpaka akafa. Pia kwa nini alioa wanawake 11 na nyinyi mmeambiwa wa nne tu yaani alijipendelea sana. Mtume aliua watu wengi akieleza dini ya Allah lakini bado akasema uislamu ni dini ya amani. Leo hivi kote kweywe uislamu mwingi ukiachia Sauti Arabia hakuna utulivu.. Na nasikia kuwa mtaenda kunywa pombe mbinguni nani atakuwa anazianda huko?Subhanallah nimesoma jibu lako nikabaki nafurahi why? Fitra yako inajitahidi kukuonesha kitu ila wewe bado umejiziba macho na hautaki kuona hebu tuangalie kile namaanisha .
1. tukianza na hapo uliposema "ibrahim alikuwa mcha mungu kwa namna ambayo Mungu alimuelezea " sasa unajua Mungu amemuelezea vipi ? Tuangalie aya hii hapa kwenye surat imran
Aal-e-Imran 3:67
مَا كَانَ إِبْرَٰهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
Kumbe ili uwe mchamungu sharti uwe muislamu maana ndiyo dini ya kweli na je ? Wapi tunathibitisha hili? Kutokana na kauli yako hii hapa
"....kifupi dini ni uislamu pekee...." 😄😄
2. sasa tuthibitishe kauli yako kwa aya hii hapa
Kwenye sura hiyo hiyo al imran
Aal-e-Imran 3:19
إِنَّ ٱلدِّينَ عِندَ ٱللَّهِ ٱلْإِسْلَٰمُۗ وَمَا ٱخْتَلَفَ ٱلَّذِينَ أُوتُوا۟ ٱلْكِتَٰبَ إِلَّا مِنۢ بَعْدِ مَا جَآءَهُمُ ٱلْعِلْمُ بَغْيًۢا بَيْنَهُمْۗ وَمَن يَكْفُرْ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ فَإِنَّ ٱللَّهَ سَرِيعُ ٱلْحِسَابِ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
HItimisho .
Ushauri wangu ni msome kwa hakika mkisoma mtaujua ukweli msiwe mnapelekwa pelekwa kaeni chini someni dini anzeni na dini yenu soma pia uislamu soma na dini nyengine kwa ajili ya kuutafuta ukweli fungueni akili mwisho mtakuja kugundua wapi ukweli upo.
🤣🤣🤣🤣sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.