Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Hapa ni PA kuanzia mkuu, usipokubali Parin ni Saudi ya sasa hayo mengine yote hayana maana.

Pia upo Ushahidi Ibrahim alienda kwa Ishamael mara kwa mara, na mPaka mke wa Kwanza Ishmael alimuacha baada ya Ibrahim kuja na mke kukataa kumhudumia.

Soma zaidi Hapa evidence za Torah

So ipo evidence Ibrahim kwenda huko apart from Islamic sources.
Hii hoja ni ngumu kwako maana hata Quran yenyewe yote imetaja Mecca mara 1 na Bacca mara 1 .
 
Hoja ni kuonyesha Ibrahimu alijenga Kaaba na Ishamael Mecca? Tusitoke kwenye hoja.
kwa mstari wa biblia uliyo Quote mwanzo 21:14-21 haionyeshi Ibrahimu akiondoka na Ishamael na kujenga kaaba Mecca bali inaonyesha Ishamael anaondoka na mama yake Hajir mwelekeo ambao hauwekwi wazi ila katika mlima sinai na mama ake alimwoza kwa mwanamke wa misri,Hoja yetu hapa ni wapi Ishamael anaenda na Ibrahimu Mecca kujenga Kaaba.
Tena Ibrahim aliambiwa na mkewe amtoe pale aliposita Mungu akamwambia muondoe mbona kabla ya kumzaa ulimsikiliza Sara, AGANO langu lipo kwa Isaka
 
Nmesoma ila hamna walipoandika Ibrahimu alijenga Kaaba na Ishamael!
Its proof kwamba
1. Ismaili alienda Arabia
2. Ibrahim alikwenda Arabia na akawa na mwanae Ismaili kule.

Then kabla ya Muhammad mitume wengine wakaenda Eneo hilo hilo kufanya Hija, na eneo hilo hilo watu wanaofuata Mila za Ibrahim (ambao wapo toka kipindi cha ismaili mpaka kuja kwa mtume) walikua hapo Mecca bila kuondoka. Mfano wa mitume hao ni Aaron na Moses ambao walienda Hijja Mecca kutumia maneno hayo hayo ya juu kama Paran na Sinai. Wote hawa Wamekua documented na source ambazo sio za kiisilamu kama Moses kwenye Bible na Hao wanaofuata Mila za Ibrahim kwenye Greek scripture na historia za waarabu.
 
Haya ni maneno matupu ndugu yangu! hayana evidence kwenye biblia popote maana Mecca ingekua imeanzishwa na Ibrahimu ingeandikwa kwenye biblia na wayahudi wangeenda Hija kama unavyosema hao mitume walioenda!
Kinyume na hapo Kaaba ilikua ina milikiwa na wakureshi ambalo ndio Kabila la Mtume Muhammad na walikua wanafanya ibada zao za kipagani kabla baadae Muhammad kubadilisha kuwa sehemu ya Ibada ya kiislamu.
 
Qurayshi ni direct descendant wa Ismail na ipo family tree kabisa kabla ya Mtume, na sio maneno matupu hao wayahudi wapo kibao wanaokubaliana mitume walihiji Mecca, in short story za Wayahudi kuhusu Ismail alienda Arabia wala hawakatai na Paran kwao ni Saudi Arabia.

Angalia hii video ya wayahudi jamaa akielezea kuhusu Moses kwenda Mecca. Hata vidude wanavyovaa wayahudi usoni vina resemble Qaaba.

View: https://youtu.be/IW0FrgSd80k
 
Unajifanya huwajui wenyeji WANATAKIWA WAWE ISRAEL TU MUDA UTAONGEA PUTIN ATAJIUNGA MWEYEW NA WA ISRAEL NAMANA KULE ANAPOTOA MSAADA WANAMUONA KAFIRI MKUBWA....
 
Its proof kwamba
1. Ismaili alienda Arabia
2. Ibrahim alikwenda Arabia na akawa na mwanae Ismaili kule.

Then kabla ya Muhammad mitume wengine wakaenda Eneo hilo hilo kufanya Hija, na eneo hilo hilo watu wanaofuata Mila za Ibrahim (ambao wapo toka kipindi cha ismaili mpaka kuja kwa mtume) walikua hapo Mecca bila kuondoka. Mfano wa mitume hao ni Aaron na Moses ambao walienda Hijja Mecca kutumia maneno hayo hayo ya juu kama Paran na Sinai. Wote hawa Wamekua documented na source ambazo sio za kiisilamu kama Moses kwenye Bible na Hao wanaofuata Mila za Ibrahim kwenye Greek scripture na historia za waarabu.
Duu 😳😳😳 labda Ibrahim mwingine lakini sio huyu baba yake Isaka na Babu yake Yakobo ( Israel)
 
Qurayshi ni direct descendant wa Ismail na ipo family tree kabisa kabla ya Mtume, na sio maneno matupu hao wayahudi wapo kibao wanaokubaliana mitume walihiji Mecca, in short story za Wayahudi kuhusu Ismail alienda Arabia wala hawakatai na Paran kwao ni Saudi Arabia.

Angalia hii video ya wayahudi jamaa akielezea kuhusu Moses kwenda Mecca. Hata vidude wanavyovaa wayahudi usoni vina resemble Qaaba.

View: https://youtu.be/IW0FrgSd80k

Wewe ni msomi Kuna vitu lazima uhoji kama Mecca na Kaaba ingekua imejengwa na Ibrahim na Ishmael tungeona imeandikwa kwenye vitabu vya dini kabla yani biblia pia huu utamaduni wa hija ungeendelezwa kutoka kizazi hadi kizazi ila icho hatuoni popote zaidi ya yote karne ya 7 ndio habari ya Kaaba na Mecca inaonekana kwenye Quran na pia Quran yenyewe imetaja Mecca kwa Jina mara 1 na Bakah mara 1 tena Quran inachanganya maana Bakah maana yake ni tofauti ma Mecca.
 
Unarudi nyuma kabisa tulikotoka, si nimeshakupa ushahidi wa Torah kuhusu Paran? Hujapinga chochote na discussion imeendelea then umefika mwisho Unarudi tena mwanzo twende circle sasa turudi nyuma? Unanichosha tu.

Hebu rudia hii link niliyokutumia ya wayahudi. Historia ya wayahudi na waisilamu kuhusu Ismail kwenda Arabuni na Ibrahim kwenda kumtembelea ipo sawa so unataka historia gani tena?

Link hizi

Zote hizo source za kiyahudi zikielezea kitu unachopinga kwamba hakijaelezewa popote.

So with evidence pambana na Historia Ya wayahudi na Torah yao kwamba na wao wanadanganya?
 
Daah! Kazi kwelikweli hayo maelezo ni maneno matupu kwani haionyeshi stori ya ujenzi wa Kaaba au Ibrahimu kwenda Mecca au kufanya ibada kwenye Kaaba.
 
Comment ya mwisho hii mkuu usiku mwema maana naona nikipost kitu husomi, halafu tunasubiri comment nyengine unakiulizia as if sijakijibu.

Hayo ya ibada nimekujibu comment iliopita nimekuwekea video nzima ya Rabbi wa kiyahudi aki elezea.

Hayo ya Ibrahim kwenda Mecca comment hii ulioquote na comment nyengine nimekuwekea kwa mara ya 3 nakuekea na link hapa ila bado Unarudi kile kile na sitashangaa hata uki quote hii comment kuuliza tena. Link hio Soma

Video nmeangalia na hii article nimesoma ila kuna walakini
1.haionyeshi Ibrahim anajenga Kaaba Mecca akiwa na Ishmael
2.katika Jews point of view Ibrahim anavyomtembelea Ishmael anakutana na na Mke wa Ishmael Aisha scholar anakwambia ni jina la mke wa Muhammad badae anakutana na Fatima h "scholar" anakwambia Jina la kama la Mtoto wa kike wa "Muhammad" sasa story inazungumziwa kuhusu Ibrahim na Ishmael znaingia story za Muhammad kweli? Scholar angejizuia tusimgundue!
 
Baba Mwajuma hongera kwa ubobevu kwenye historia. Nadhani umebobea vema kwenye hizi dini za Ibrahim.
Swali. Bila shaka unafahamu kuwa Misri ya kale wenyeji wake hawakuwa Waarabu. Waarabu wamevamia Misri na Afrika ya kaskazini takribani karne ya sita ama ya saba.
Kwa logic, mama wa Ismail/Ishmael hakuwa mwarabu
1. Kama Mtume Muhammad ni blood line ya Ismail inakuwaje Muhammad awe Mwarabu wakati babu zake hawakuwa waraarabu?
2. Maandiko yanasema Kizazi cha Isaka ndio hawa Wayahudi wa leo, na kizazi cha Ismael ndio hawa Waarabu wa leo, je, iweje watoto wa baba mmoja watofautine kigenetic?
3. Kama hawatofautiani kigenetic, ipi tofauti kati ya waarabu na wayahudi (kwa maana ya race sio dini)
 
Tatizo Lugha najua kingereza kinatia njaa. mwandishi amefananisha tu hayo majina na majina ya wake wa Muhammad, ni majina ya kiarabu that's it, hayana uhusiano wowote na stori.

Video inaonesha Musa kuhiji Mecca, which prove ni sehemu ya monotheist kuhiji kabla haijakuja Mohammed which prove Hanif point which lead to Ibrahim. Its that easy.
 
Hata wakati wa uhai wake Mtume alikua aki refer Hajjar kama mama wa waarabu, waarabu baba yao ni Ismail, ismail ndio mwanzo wa waarabu na Ishaq mwanae ndio mwanzo wa wayahudi, so hao wawili ndio walitoa hayo mataifa.
2. Maandiko yanasema Kizazi cha Isaka ndio hawa Wayahudi wa leo, na kizazi cha Ismael ndio hawa Waarabu wa leo, je, iweje watoto wa baba mmoja watofautine kigenetic?
Genetic wanafanana mkuu, unaweza uka Soma hapa

Sema kuna utofauti baina ya waarabu asili hao wa Ismail na waarabu wengine wa Levant (pamoja na Jews) wapo Halogroup moja ila namba tofauti, sina kumbukumbu vizuri mpaka niangalie madesa.
3. Kama hawatofautiani kigenetic, ipi tofauti kati ya waarabu na wayahudi (kwa maana ya race sio dini)
Wayahudi wapo aina tofauti tofauti sababu kuna wayahudi wengi mno ambao ni wayahudi kwa kubadili dini, hapa ndio kunakua na mkanganyo mkubwa kwenye Mgogoro wa Palestina na Israel. Ila tukitoa wayahudi wazungu kama Ashkenazi na wengineo kama sepharidic, Wayahudi ambao wapo middle East miaka nenda miaka Rudi kama Mizrahi Jews hawana tofauti yoyote na waarabu.
 
Tatizo Lugha najua kingereza kinatia njaa. mwandishi amefananisha tu hayo majina na majina ya wake wa Muhammad, ni majina ya kiarabu that's it, hayana uhusiano wowote na stori.

Video inaonesha Musa kuhiji Mecca, which prove ni sehemu ya monotheist kuhiji kabla haijakuja Mohammed which prove Hanif point which lead to Ibrahim. Its that easy.
Ujue hoja inaanza mwanzo kabisa kwenye habari ya Ibrahim kwenda Mecca na kujenga Kaaba,mitume wengine kwenda Mecca hija ni mada nyingine pana maana baada ya Ibrahim wamepita manabii wengi ambao kwa uzito wa sehemu ya Mecca kujengwa na Ibrahim wangeizungumzia kwa upana pia na Ingekua sehemu ya dini ya kiyahudi kufuata hayo mafundisho lakini hatuoni hayo mafundisho kwa upana huo hadi baadae karne ya 7
 
Back
Top Bottom