Je, watu wa mikoani na vijijini wakianza vitimbwi wanavyofanyiwa wakienda kwa ndugu zao wa Dar patatosha?

Kijijini tunaenda na hela, tangu umefika hakuna anaekwenda shamba, asubuhi chai wakati hawanywagi siku zote.

Ukitaka kujua kama kijijini wakalimu nenda na usitoe pesa tuone kama watakuthamini.

Ukifika kijijini hakuna atakaetoa pesa ya sabuni,chumvi,sukali,mboga nk labda vyakula ambavyo vinajiotea TU.

Ukarimu upo direct proportion to Uwezo kifedha.

Nina ndugu yangu mmoja alitenbelewa na ndugu kijijini baadae walikatiwa ticket Bila wao kuulizwa ratiba zao.
 
tabia za ukarimu inategemea na makuzi ,lakini life la Dar la maisha ya kuunga unga kwa walio wengi wakati flani lina wafanya watu kuto kuwa wakarimu .Mikoani watu walio wengi ni wakarimu kwa sababu ya element za ujima bado zipo .Mjini mfumo unaotawala walio wengi ni ubepari na hii ni kutokana na intaraction na watu wa sehemu tofauti to fauti kula uliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…