political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Kijijini tunaenda na hela, tangu umefika hakuna anaekwenda shamba, asubuhi chai wakati hawanywagi siku zote.
Ukitaka kujua kama kijijini wakalimu nenda na usitoe pesa tuone kama watakuthamini.
Ukifika kijijini hakuna atakaetoa pesa ya sabuni,chumvi,sukali,mboga nk labda vyakula ambavyo vinajiotea TU.
Ukarimu upo direct proportion to Uwezo kifedha.
Nina ndugu yangu mmoja alitenbelewa na ndugu kijijini baadae walikatiwa ticket Bila wao kuulizwa ratiba zao.