JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
😂😂😂😂 duh hata mtaani kwetu hivyohivyoMtaani kwangu kwanza hawaamini kabisa kama hii kitu ipo, achilia mbali kuchukua tahadhari, na huwaambii kitu 😄😄😄
hakuna hata mmoja zaidi ya kutegemea maombi tuView attachment 1727209
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini...
View attachment 1727209
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini....
Upotoshaji mkubwa uliofanyika awali umewafanya wengi kuamini covid-19 haipo nchini ilishakimbia na wanaoipata ni wale walioenda nje ya nchi na kuchanjwa!View attachment 1727209
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini...
Eti eeh 🙄 utakuja kukutana na yaliowakuta siku moja halafu useme hivyoHatuwezi kupoteza Muda na vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.
Mtaani kwangu hakuna anayechukua tahadhari , watu wanaona hakuna ugonjwa , wanaendelea na maisha yao!! Mungu tusaidie sana.View attachment 1727209
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini..
Vijimafua? Ipo siku ukipata bahati utarudi hapa kurudia kauli yako , usiombe huu ugonjwa kbs. Muombe Mungu wako kbs.Hatuwezi kupoteza Muda na vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.
Corona HAIPO TANZANIAView attachment 1727209
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini...