that-official
Member
- May 17, 2024
- 7
- 5
JE WATU WA ZAMANI WALIISHI KWA IMANI ZIPI?
katika historia inasemakana kwamba mababu na mabibi zetu waliishi kwa Imani zao hapa nikimaanisha kwamba Mila na desturi
Tofauti hapo zamani na Sasa ni...
👉Maombi yetu ni kuchelewa kujibiwa
👉kutokua na Imani thabiti
👉 Mapuuzo
katika historia inasemakana kwamba mababu na mabibi zetu waliishi kwa Imani zao hapa nikimaanisha kwamba Mila na desturi
- Kuenzi watu walio kufa mda mrefu ulio pita, wakiamini kwamba wanapata msaada wakifanya matambiko.
- IImani thabiti inasemakana watu wa zamani walikuwa na Imani Sana hii ilitokana na kurithi kutoka kwa mababu zao hvyo Imani yao ilikuwa unawapa msaada. 1. KITU CHA AJABU ILIKUWA NI HIVI
- Bc inasemakana kua watu wa kale kila kitu walicho kua wanakifanya Kama matambiko yalikuwa yanajibiwa kwa harakat zaidi mfn wakifanya matambiko ya kuomba mvua basi majibu wanayapata kwa muda mfupi.
- Hapa utabaki unajiuliza mbona kwa wakati huu ni tofauti no sababu ya technology, au mapuuzo ya vitu vya kale, twende pamoja 2. UTOFAUTI HAPO ZAMANI NA WAKATI HUU
Tofauti hapo zamani na Sasa ni...
👉Maombi yetu ni kuchelewa kujibiwa
👉kutokua na Imani thabiti
👉 Mapuuzo
- Maswali tubaki tukijiuliza Mimi na wewe Kuna Siri gani hapo katikati Kati ya Mila tulizo kua nazo na baada ya kuja Imani za wazungu.
- Mbona zamani tulijibiwa kwa harakat zaidi kuliko Sasa?