Je Watu waliodhamiria kufanya mauaji wanaweza kumshirikisha mtu from no where?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Nimeona kwenye mtandao kuna mzee anawataja watu (ASIKARI) kwa majina Ya "X" na " Y" Kuwa walimfuata na kumpa Kazi ya kijasusi, wamuoneshe alipo Mdude Nyangali Kisha Wao watimize jambo lao walilokusudia,

binafsi nimemsikiliza kwa makini sana huyu mzee Lakini nimekua na maswali ya kujiuliza kumuhusu kama ifuatavyo

(1) Je watu waliodhamiria kuua wanaweza kumshirikisha mtu wasiye mjua?!!

(2) Mzeee anaongea kwa confidence kubwa sana kipi kipo nyuma ya Pazia?!!

(3)Mzee anasema anawajua ni ASKARI Wa mkoani kataja Majina Yao "X" na "Y", Je kama walitumia fake ID kumficha?!!

(4)huyu mzee ni nani ana kazi gani na Nyadhifa gani na background yake ni IPi?! na hayo anayoyazungumza kwa Nini aaminike kwa asilimia mia Kuwa ni kweli?!!

(5) Kwa hayo anayoyazungumza haiwezi kuwa ni technic ya kuwatoa watu kwenye Reli na kwenye mahakama akashindwa kuthibitisha?!!!
 
Attachments

  • AQNCpKustUbFi0C5SEQbirBLKlt5LsWd3EpKkEjGRn2oAu-KZCuPqA1VUnVtq0J8dABgnc9PGDkllFh3D8bcjYBx.mp4
    16.6 MB
Kwa akili za divisheni foo ya selasini na tatu (sio thelathini) inawezekana kabisa.....

Ref bashite kipindi kile, "roma atapatikana jumapili"
 
Swali lako ni sawa na kuuliza waliodhamilia kuua wanaweza tumiaka kisu bila kuvaa groves?
 
Nimeona kwenye mtandao kuna mzee anawataja watu (ASIKARI) kwa majina Ya "X" na " Y" Kuwa walimfuata na kumpa Kazi ya kijasusi, wamuoneshe alipo Mdude Nyangali Kisha Wao watimize jambo lao walilokusudia,

binafsi nimemsikiliza kwa makini sana huyu mzee Lakini nimekua na maswali ya kujiuliza kumuhusu kama ifuatavyo

(1) Je watu waliodhamiria kuua wanaweza kumshirikisha mtu wasiye mjua?!!

(2) Mzeee anaongea kwa confidence kubwa sana kipi kipo nyuma ya Pazia?!!

(3)Mzee anasema anawajua ni ASKARI Wa mkoani kataja Majina Yao "X" na "Y", Je kama walitumia fake ID kumficha?!!

(4)huyu mzee ni nani ana kazi gani na Nyadhifa gani na background yake ni IPi?! na hayo anayoyazungumza kwa Nini aaminike kwa asilimia mia Kuwa ni kweli?!!

(5) Kwa hayo anayoyazungumza haiwezi kuwa ni technic ya kuwatoa watu kwenye Reli na kwenye mahakama akashindwa kuthibitisha?!!!
Mungu anapoamua kuanika haya mambo hutumia njia zake
 
Pole kajifunze kodogo kuhusu reasoning and argumentation..
Even go to Google
 
Back
Top Bottom