NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Mungu anapoamua kuanika haya mambo hutumia njia zakeNimeona kwenye mtandao kuna mzee anawataja watu (ASIKARI) kwa majina Ya "X" na " Y" Kuwa walimfuata na kumpa Kazi ya kijasusi, wamuoneshe alipo Mdude Nyangali Kisha Wao watimize jambo lao walilokusudia,
binafsi nimemsikiliza kwa makini sana huyu mzee Lakini nimekua na maswali ya kujiuliza kumuhusu kama ifuatavyo
(1) Je watu waliodhamiria kuua wanaweza kumshirikisha mtu wasiye mjua?!!
(2) Mzeee anaongea kwa confidence kubwa sana kipi kipo nyuma ya Pazia?!!
(3)Mzee anasema anawajua ni ASKARI Wa mkoani kataja Majina Yao "X" na "Y", Je kama walitumia fake ID kumficha?!!
(4)huyu mzee ni nani ana kazi gani na Nyadhifa gani na background yake ni IPi?! na hayo anayoyazungumza kwa Nini aaminike kwa asilimia mia Kuwa ni kweli?!!
(5) Kwa hayo anayoyazungumza haiwezi kuwa ni technic ya kuwatoa watu kwenye Reli na kwenye mahakama akashindwa kuthibitisha?!!!
Ndiyo anakuwa chambo.(1) Je watu waliodhamiria kuua wanaweza kumshirikisha mtu wasiye mjua?!!
Dunia huwa haina siriAnatakikana Mdude akiwa hai.
Ya Mzee baadaye. Polisi wamrejeshe Mdude.
Mdude hakujiteka!
KUNA SEHEMU NIMEANDIKA KAUAWA?!!umejuaje kuwa wamemuua?
wapi umeona neno Yanga???Siasa na Yanga hivi ni Ndugu?
ukiandika kitu uwe unasoma kwanza.KUNA SEHEMU NIMEANDIKA KAUAWA?!!
soma point yako NAMBA 1.KUNA SEHEMU NIMEANDIKA KAUAWA?!!
Pole kajifunze kodogo kuhusu reasoning and argumentation..Nimeona kwenye mtandao kuna mzee anawataja watu (ASIKARI) kwa majina Ya "X" na " Y" Kuwa walimfuata na kumpa Kazi ya kijasusi, wamuoneshe alipo Mdude Nyangali Kisha Wao watimize jambo lao walilokusudia,
binafsi nimemsikiliza kwa makini sana huyu mzee Lakini nimekua na maswali ya kujiuliza kumuhusu kama ifuatavyo
(1) Je watu waliodhamiria kuua wanaweza kumshirikisha mtu wasiye mjua?!!
(2) Mzeee anaongea kwa confidence kubwa sana kipi kipo nyuma ya Pazia?!!
(3)Mzee anasema anawajua ni ASKARI Wa mkoani kataja Majina Yao "X" na "Y", Je kama walitumia fake ID kumficha?!!
(4)huyu mzee ni nani ana kazi gani na Nyadhifa gani na background yake ni IPi?! na hayo anayoyazungumza kwa Nini aaminike kwa asilimia mia Kuwa ni kweli?!!
(5) Kwa hayo anayoyazungumza haiwezi kuwa ni technic ya kuwatoa watu kwenye Reli na kwenye mahakama akashindwa kuthibitisha?!!!
Muuliza Swali asiulizwe Swali?wapi umeona neno Yanga???
Maswali gani hayoMuuliza Swali asiulizwe Swali?