Je, watunza hazina wa CCM na Chadema wana CPA (T)?

Je, watunza hazina wa CCM na Chadema wana CPA (T)?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
CCM na Chadema ndio vyama vinavyopewa ruzuku kubwa na serikali, CCM ikikaribia sh bilioni 1 kwa mwezi na Chadema takribani sh milioni 326 kwa mwezi.

Hizi ni fedha nyingi tena ni kodi zinazokusanywa kutoka kwa wananchi wanyonge hivyo zinahitaji matumizi yake yasimamiwe kwa mujibu wa kanuni na taratibu za uhasibu.

Ninajua pale CCM kuna CPA za kutosha ila kwa Chadema sina uhakika lakini pia sijajua kama watunza ruzuku wa vyama hivi wana sifa stahiki za uhasibu.

Ndiposa najiuliza watunza hazina hawa ni CPA holders?

Maendeleo hayana vyama!
 
Serikalini kuna CPA holders kibao ila upigaji wa pesa za umma upo pale pale

Ile 1.5 tril mpaaka leo haijulikani ilipo
 
Ccm na serikali yake inaongoza kwa CPA pia inaongoza kwa majizi na mafisadi papa.
 
Mzee Mgaya na mchungaji Erasto pia wameonyesha kupata mashaka kwenye hilo?
 
Ninajua pale CCM kuna CPA za kutosha
74643564_710515922767645_5847106796749062144_n.jpg
 
Back
Top Bottom