Kwa hiyo Sheikh Yahayya alikuwa Mamajusi!?Mkuu, mamajusi ni watu walioabudu moto na wanaofuata dini ya kale ya Zoroastrianism ya Persia (Iran ya kale). Majasusi ni spies au watu wanaokusanya habari ya mambo ya siri (secret agents).
Astrologists ndio mamajusi sio astronomersHapana,mamajusi ni wataalamu wa mambo ya angani yaani nyota na vinginevyo kwa lugha ya sasa wangeitwa astrophisicians,kwa ulimwengu wa leo uanawapata NASA na mashirika mengine kama ESA (European Space Agency),hapa nchini kwetu sidhani kama tuna kitengo hicho.
Acha kupoteza maana, umetumwa au?!Astrologists ndio mamajusi sio astronomers
Wewe umevurugwa kabisa, soma vizuri habari hii uelewe. Hawa Magis waliiona nyota yake upande wa Mashariki ikiwa ni ya kifalme wakaifuata. Utotoni tulijua nyota tu ya kawaida lakini in reality ni nyota zinazotufanya tustawi. Baada ya kukua na kujifunza mambo ya kiroho ndiyo tumejua nyota ipi. Maana watu wa gizani huzitumia katika ulimwengu wa roho kuumiza watu na kwa manufaa yao. Hiyo maana unaleta ni potofu ishia hapo hapo na hizo points unaleta unaislead watu kwa kujua ama kutokujuaKuna astrology na astronomy, hii ndio elimu watu wanapaswa kuifahamu. Hapo ndipo unaweza kutofautisha mamajusi na wataalamu wa anga maana Wana majina mengi tofauti kulingana na utaalamu wao. Wengine wanadeal na nyota, wengine sayari, wengine anga Zima kwa maana ya space.
"Astronomy is a science that studies everything outside of the earth's atmosphere, such as planets, stars, asteroids, galaxies; and the properties and relationships of those celestial bodies. ... Astrology, on the other hand, is the belief that the positioning of the stars and planets affect the way events occur on earth."
Nadhani kwa elimu zaidi ya kujua hii mada mnaweza kuanzia hapa.
Umeelewa lakini au umeamka na Kvant? Kwani ulisoma na ukatafuta maana ya nilichoandika unakosa nini au basi angalia post ya pili niliyoandika inaweza kukutoa Kvant zako. Stupid.Acha kupoteza maana, umetumwa au?!
Kuna nyumba moja ya mama mkatoliki (sasa marehemu) juu mlangoni alikuwa ameandika K+M+B sikujua maana yake baadae nikamuuliza mtoto wake ndio akaniambia ni (Kaspari + Melkiori + Baltazari)
Na ni kweli katika journals za Wakristo ulimwenguni wanajua kuwa wale mamajusi ni Casper + Melchior + Balthazar
Walikuwa Wanajimu wenye elimu ya kusoma nyota n.k
Hawa mamajusi walitoa nchi ya Parthian (Iran ya sasa) na walikuwa makuhani wa dini ya Uzoroasta (Zoroastrianism)ya huko Parthian
Zoroasta ni dini ya kale sana iliyoamini itikadi ya Mungu mmoja. Dini za Uislam na Ukristu zimeiga mambo mengi sana toka dini hii.
Nawe umeyapata wapiMkuu Hayo Majina Umeyatoa Wapi Majina Ya Mama Jusi Ni Haya Mmoja Aliitwa Meru, Horu, Lunu
Baltathary melkiory and Gaspary protect me the way you protect our lord Jesus, amen.Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .
Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.
Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Kila mahali waliyatamka kwa namna yao yakiwa na maana ileile.Mkuu Hayo Majina Umeyatoa Wapi Majina Ya Mama Jusi Ni Haya Mmoja Aliitwa Meru, Horu, Lunu
Acha kupanicUkristo Unafuata Mafundisho Ya Yesu Kristo Acha Kudanganya Kama Haujui Kitu Kaa Kimya
Kila mahali waliyatamka kwa namna yao yakiwa na maana ileile.
Weka source yako ya ku-refute hiyo wikipedia. Vinginevyo kaa kimya maana huna hojaWikipedia[emoji15][emoji15]
Hawakujiongeza Bali walionywa kupitia ndotoBaltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .
Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.
Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.