Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

Mkuu, mamajusi ni watu walioabudu moto na wanaofuata dini ya kale ya Zoroastrianism ya Persia (Iran ya kale). Majasusi ni spies au watu wanaokusanya habari ya mambo ya siri (secret agents).
Kwa hiyo Sheikh Yahayya alikuwa Mamajusi!?
 
Hapana,mamajusi ni wataalamu wa mambo ya angani yaani nyota na vinginevyo kwa lugha ya sasa wangeitwa astrophisicians,kwa ulimwengu wa leo uanawapata NASA na mashirika mengine kama ESA (European Space Agency),hapa nchini kwetu sidhani kama tuna kitengo hicho.
Astrologists ndio mamajusi sio astronomers
 
Kuna astrology na astronomy, hii ndio elimu watu wanapaswa kuifahamu. Hapo ndipo unaweza kutofautisha mamajusi na wataalamu wa anga maana Wana majina mengi tofauti kulingana na utaalamu wao. Wengine wanadeal na nyota, wengine sayari, wengine anga Zima kwa maana ya space.

"Astronomy is a science that studies everything outside of the earth's atmosphere, such as planets, stars, asteroids, galaxies; and the properties and relationships of those celestial bodies. ... Astrology, on the other hand, is the belief that the positioning of the stars and planets affect the way events occur on earth."

Nadhani kwa elimu zaidi ya kujua hii mada mnaweza kuanzia hapa.
 
Wewe umevurugwa kabisa, soma vizuri habari hii uelewe. Hawa Magis waliiona nyota yake upande wa Mashariki ikiwa ni ya kifalme wakaifuata. Utotoni tulijua nyota tu ya kawaida lakini in reality ni nyota zinazotufanya tustawi. Baada ya kukua na kujifunza mambo ya kiroho ndiyo tumejua nyota ipi. Maana watu wa gizani huzitumia katika ulimwengu wa roho kuumiza watu na kwa manufaa yao. Hiyo maana unaleta ni potofu ishia hapo hapo na hizo points unaleta unaislead watu kwa kujua ama kutokujua
 
Acha kupoteza maana, umetumwa au?!
Umeelewa lakini au umeamka na Kvant? Kwani ulisoma na ukatafuta maana ya nilichoandika unakosa nini au basi angalia post ya pili niliyoandika inaweza kukutoa Kvant zako. Stupid.
 
Kuna nyumba moja ya mama mkatoliki (sasa marehemu) juu mlangoni alikuwa ameandika K+M+B sikujua maana yake baadae nikamuuliza mtoto wake ndio akaniambia ni (Kaspari + Melkiori + Baltazari)

Na ni kweli katika journals za Wakristo ulimwenguni wanajua kuwa wale mamajusi ni Casper + Melchior + Balthazar

Walikuwa Wanajimu wenye elimu ya kusoma nyota n.k
 
Mkuu Hayo Majina Umeyatoa Wapi Majina Ya Mama Jusi Ni Haya Mmoja Aliitwa Meru, Horu, Lunu
 
Hawa mamajusi walitoa nchi ya Parthian (Iran ya sasa) na walikuwa makuhani wa dini ya Uzoroasta (Zoroastrianism)ya huko Parthian

Zoroasta ni dini ya kale sana iliyoamini itikadi ya Mungu mmoja. Dini za Uislam na Ukristu zimeiga mambo mengi sana toka dini hii.

Ukristo Unafuata Mafundisho Ya Yesu Kristo Acha Kudanganya Kama Haujui Kitu Kaa Kimya
 
Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .

Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.

Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Baltathary melkiory and Gaspary protect me the way you protect our lord Jesus, amen.
Write this and hold it you shall be safe in wonderfully ways, no curse shall touch you.
 
hivi hao mamajusi wapo mpaka dunia ya sasa au ilikuwa enzi hizo tu, Before christ
 
Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .

Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.

Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Hawakujiongeza Bali walionywa kupitia ndoto
 
Back
Top Bottom