Ok.sasa baada ya kuonywa si ndio wakajiongeza, wangapi wanaonywa na bado hawatii maonyo. Wanaendelea na mambo Yao/ maagizo ya mabosi wao ili wawafurahishe na kupata nafasi nzuri. Unadhani kwenda kinyume na mfalme ni kitu kirahisi tuHawakujiongeza Bali walionywa kupitia ndoto
Baada ya kumsujudu kabla hawajaondoka roho mtakatifu akawajia kwenye maono na wakaelekezwa kuwa warudi kwa njia nyingne.Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .
Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.
Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Hata mimi nilikuwa najua ni akina mama,sasa nashangaa kumbe walikuwa ni kina Gaspar[emoji3]Mimi zamani nilikuwa najuwa mamajusi ni Akina mama,ila nilikuwa sijui wanajishughilisha na nini akina mama hao
Inawezekana nimechanganya ila hao watatu niliowataja ndio waliomtembelea Yusuphu na Mariamu baada ya Mariamu kumzaa Yesu Kristo. Waliompelekea Manemane, Uvumba sijui na nini kingineMkuu Hayo Majina Umeyatoa Wapi Majina Ya Mama Jusi Ni Haya Mmoja Aliitwa Meru, Horu, Lunu
Wapo watabiri.Hapa kwetu hakuna watalamu wa nyota
Kumbe Roho Mtakatifu alikuwepo kabla ya Kristo!?Baada ya kumsujudu kabla hawajaondoka roho mtakatifu akawajia kwenye maono na wakaelekezwa kuwa warudi kwa njia nyingne.
Shukran mkuu kwa story fupi na nzuri
Niwekee hapa kitabu kimoja chenye hayo majina nisome mekuAcha uvivu Mkuu jisomee vitabu na nenda mitandaoni ukasome. Usishinde kwa wachungaji wanaogawa maji na mafuta hutaweza kujua mambo haya mkuu.
"Hata mimba ya Yesu ilitungwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu', yaani hapo mtani ndo utajua hujuiKumbe Roho Mtakatifu alikuwepo kabla ya Kristo!?
Na huyu aliyekuja baada ya Yesu kupaa n Nani
Hapana,mamajusi ni wataalamu wa mambo ya angani yaani nyota na vinginevyo kwa lugha ya sasa wangeitwa astrophisicians,kwa ulimwengu wa leo uanawapata NASA na mashirika mengine kama ESA (European Space Agency),hapa nchini kwetu sidhani kama tuna kitengo hicho.