Je, Wayahudi hawahitaji kupitia kwa Yesu kuuona ufalme wa Mungu?

Je, Wayahudi hawahitaji kupitia kwa Yesu kuuona ufalme wa Mungu?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu,

Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole"

Lakini ni wazi kua wa Israel hawamkubali Yesu, jana leo na hata kesho. Je wao ni exceptional katika njia ya ukweli na uzima?
 
Wajomba tena? Ngoja uletwe mwongozo.
 
Israel ni taifa teule kweli.
Ila sio hao waisrael unawaona hapo
Hao ni waabudu shetani
 
Taifa lolote lile duniani ni taifa teule la Mungu, ila sio kila mtu katika taifa hilo ni mwana wa Mungu. Kuufikia uso na ufalme wa Mungu ni lazima kumkiri na kumpokea Yesu kristo kuwa bwana na mwokozi wako.
Kwa hiyo achana na utapeli kwamba Israel pekee ndio taifa la Mungu.
 
Fact🫡
 
Huyo uliebishana nae umeyakubali maneno yake kwamba YESU ndie njia na kweli na uzima?? Na kwamba hutaweza kuuona ufalme WA MUNGU pasipo Yeye???
 
Warumi 11:25 “Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili.
26 Hivyo Israeli wote wataokoka; kama ilivyoandikwa, Mwokozi atakuja kutoka Sayuni; Atamtenga Yakobo na maasia yake”.
 
Wale wayahudi wapo kwenye ardhi ambayo kulikuwa na mwanzo WA matukio na ndio patakuwa na mwisho WA matukio...Kuna matukio ya ratiba maalum yanatakiwa kukamilishwa na Israel....
Je umewahi kuelewa maana ya chukizo la uharibifu kwenye kitabu cha matayo???
Msikiti WA al aqsa Unatakiwa uvunjwe halafu kujengwe hekalu kama la Suleiman..... Baada ya kujengwa na kukamilika kutakuwa na sherehe ya kusheherekea kumwapisha kiumbe atakaejifanya masihi/antichrist na Katika hio sherehe kutafanyika ushoga uliopitiliza (rampant) na rasmi watu wataanza kulazimishwa kupigwa namba 666 na ukikataa ni mwendo WA kupigwa pumbu Tu...kila mmoja pasi na kuchagua utaifa lazima apigwe hio alama maana dini zote Zitakuwa zimefutwa....Na sharti litakuwa kumuabudu Huyo shoga Tu.Kwa hio ushoga tunaouona Kwa Sasa ni maandalizi ya Jambo kubwa linalokuja.

NB Hayo ni matukio yatatokea baada ya wanaomwamini YESU kuondolewa na roho yenye kuwalinda kuondolewa...The rest watausoma ukweli in the hard way....... However wayahudi Wana wokovu wao tofauti aliowaandalia Mungu Kwa baadhi Yao..., Maana wayahudi hawakumwamini Yesu ili watu wote wa dunia waipate hio nafasi adimu though pasi na wayahudi kupoteza haki yao mbele za Mungu ya kuwa taifa teule na la kimkakati.
 
Kama Israel 🇮🇱 ni taifa la mungu sas Tanzania 🇹🇿 na 🇰🇪 kenya ni taiga la shetani su
 
Back
Top Bottom