Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu,
Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole"
Lakini ni wazi kua wa Israel hawamkubali Yesu, jana leo na hata kesho. Je wao ni exceptional katika njia ya ukweli na uzima?
Walokole wameukimbia uzi
Fact🫡Taifa lolote lile duniani ni taifa teule la Mungu, ila sio kila mtu katika taifa hilo ni mwana wa Mungu. Kuufikia uso na ufalme wa Mungu ni lazima kumkiri na kumpokea Yesu kristo kuwa bwana na mwokozi wako.
Kwa hiyo achana na utapeli kwamba Israel pekee ndio taifa la Mungu.