Tumeona hivi karibuni Wabunge wakilalamika maagizo ya Waziri Mkuu hayafuatwi. Lakini ni kweli amekuwa akiongea na bila kusimamia maagizo yake.
Jana Wafanyabiashara Kariakoo wameonyesha dhahiri kwamba hakuna imani nae kwasababu hawezi kusimamia anachokiagiza na hata ungesikia kauli zake sio za kutoa amri ni ushauri tu.
Maeneo mengi alilkoenda na kusema Watumishi wahamie wamempuuza.
Je, nani atafaa kuwa Waziri Mkuu kama Lowassa ambae alikuwa akisema kuwa inakuwa?