Je waziri mkuu ni wa Muungano au Tanganyika?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” - @raiyajenerali

Utamaduni wa mazoea na uongo uongo umetufikisha hapa
 
Kama alishafanya ziara za Kiserikali kwenye mikoa ya Zanzibar ni wa Muungano kana hajawai kufanya ziara uko Zanzibar za Kiserikali ni wa hapahapa Tanganyika.
 
“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” - @raiyajenerali

Utamaduni wa mazoea na uongo uongo umetufikisha hapa
Ni wa Tanganyika hata Rais, umewahi kusikia wana ziara Zanzibar zaidi ya kwenda kwenye sherehe pekee au ameteua RC/DC wa Unguja?
 
Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?

Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?

Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi
 
..Je, wanaotumia Euro hawana nchi?

..Zanzibar ina majeshi yake.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?

Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?

Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi
Jeshi si lazima mkuu, hata bank kuu au pesa yake si lazima. Inaweza amua iungane hata na kenya itumie ksh hivyo hawatahitaji b3nki kuu watatua wanatumia benki kuu ya kenya.
 
“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” - @raiyajenerali

Utamaduni wa mazoea na uongo uongo umetufikisha hapa
Kwanza uelewe muungano uliishakufa kwa zanzibar kujitoa kama anavyosema Warioba..

Kilichopo ni serikali ya Tanganyika lakini Iinatumia jina ka Tanzania na inaruhusu wazanzibari kushiriki katika nafasi mbalimbali za uongozi na fursa za Tanganyika lakini kwa jina la Tanzania.
 
Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?

Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?

Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi
Hivyo ulivyovitaja sio lazima.

Jeshi wanalo; wenyewe wanaviita vikosi ila kazi zake ndizo zile zile za kulinda mipaka.
 
Mbona uwa wanaomba msaada jwtz kwenye chaguzi ulishaona Uganda au Kenya wanafanya hvyo?
 
“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” - @raiyajenerali

Utamaduni wa mazoea na uongo uongo umetufikisha hapa
Waziri mkuu ni mTanganyika kwa ajiri ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom