Ni wa Tanganyika hata Rais, umewahi kusikia wana ziara Zanzibar zaidi ya kwenda kwenye sherehe pekee au ameteua RC/DC wa Unguja?“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” - @raiyajenerali
Utamaduni wa mazoea na uongo uongo umetufikisha hapa
Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?
Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?
Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi
Jeshi si lazima mkuu, hata bank kuu au pesa yake si lazima. Inaweza amua iungane hata na kenya itumie ksh hivyo hawatahitaji b3nki kuu watatua wanatumia benki kuu ya kenya.Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?
Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?
Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi
Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank
Zipo nchi nyingi tu hazina pesa zao wala majeshi.Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?
Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?
Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi
Kwanza uelewe muungano uliishakufa kwa zanzibar kujitoa kama anavyosema Warioba..“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” - @raiyajenerali
Utamaduni wa mazoea na uongo uongo umetufikisha hapa
Hivyo ulivyovitaja sio lazima.Nchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?
Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?
Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi
Mbona uwa wanaomba msaada jwtz kwenye chaguzi ulishaona Uganda au Kenya wanafanya hvyo?Hivyo ulivyovitaja sio lazima.
Jeshi wanalo; wenyewe wanaviita vikosi ila kazi zake ndizo zile zile za kulinda mipaka.
Mbona uwa wanaomba msaada jwtz kwenye chaguzi ulishaona Uganda au Kenya wanafanya hvyo?
Waziri mkuu ni mTanganyika kwa ajiri ya Tanganyika.“ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” - @raiyajenerali
Utamaduni wa mazoea na uongo uongo umetufikisha hapa
We mwenzetu ulisoma civics ya nchi gani labdaNchi ili iwe nchi lazima iwe na vitu vifuatavyo
Bank kuu pesa yake je Zanzibar wanayo?
Jeshi lake je Zanzibar Wana jeshi?
Kama hauna hivi hauwezi kuwa nchi