je wazungu wanamatambiko?

je wazungu wanamatambiko?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
wadau nimeona sehemu nyingi katika dunia hii tambalale wanakuwa ni watu wenye kufanya sala na ibada za kiasili/matambiko hususani asia,afrika na amerika ,je wenzetu wa reasoning/ulaya wanayo haya mambo?

uchawi na matambiko mengine
 
Jana nimetafakari jambo linalohusiana kidogo na hili.

Kwenye misiba yetu sisi waafrika hasa wamama huwa tunalia hadi kuzimia..nikajiuliza kama na ngozi nyeupe huwa wanalia hadi kuzimia sijawahi kuona hata wakiigiza kwenye movie zao.

Binafsi huwa nawashangaa wanaolia hadi kuzimia. Nimefiwa sana lkn sijawahi kupata feeling ya kuzimia au kulia kwa kujigalagaza..nalia kitajiri🤪
 
Back
Top Bottom