Ndio.😀
Yaani kampa jina Ola'?
Hapo ongezea na kiitaliano!....mm nahisi hizi lugha tatu kuna vitu vingi wanaelewana anaejua zaidi atujuzeWakuu,
Kwa wale wanaozijua lugha hizo mbili naomba mnisaidie.
Mimi sio mzungumzaji wa lugha yeyote kati ya hizo ila naweza kusema kwamba naelewa baadhi ya maneno au sentesi sababu nimekuwa nikifuatilia sana nyimbo za zinazoimbwa Kihispania, katika harakati za kujua maana ya nyimbo hizo nikajikuta najua maneno mengi na hata matamshi na kuna kipindi nilianza kusoma mwenyewe online kuanzia spanish alphabet,salamu, namba, siku za wiki nk, kwahio ninaulewa kiasi.
Kadri nilivyoendelea nikaanza pia kupenda nyimbo za Kireno(Portuguese) ndio nikaanza kugundua pia naelewa baadhi ya maneno ya kireno kwa kuwa yanafanana na Kihispania
Mfano
Que tal? - how are you, whatsup
Como estas-how are you
De nada-you are welcome
Por favor(please)
Adios-Goodbye
Amor-Mpenzi
Amigo-rafiki
Spanish - Hola/portuguese-Ola'=Hello or Hi
Na mengine mengi ambayo yanakaribiana kama habari za asubuhi, mchana, jioni.
Je Wazungumzaji wa lugha hizi mbili wanasikilizana? maana hizi lugha zinazungumzwa nchi tofauti na mabara tofauti?
Asante.
Yes and no.Wakuu,

Mkuu kiitaliano, kifaransa, kihispania na kireno ni language group Romantic.Hapo ongezea na kiitaliano!....mm nahisi hizi lugha tatu kuna vitu vingi wanaelewana anaejua zaidi atujuze
Kama walivyo adriz na Busu la KengeMkuu kiitaliano, kifaransa, kihispania na kireno ni language group Romantic.
Kama Spain na Portugal ni kama sisi na Kenya ina maana wanaweza kuelewana japo kwa taabu kidogo, lakini kuelewana kutawepo?Yes and no.
Kuna baadhi ya maneno wanasikilizana, hata hivyo pia kuna mengi hayafanani.
Na Spain (Hispania) na Portugal ni kama sisi na Kenya. Hata hivyo kutokana na ukoloni wa Hispania kule latin América, lugha yao (Español) inazungumzwa na nchi nyingi huko amerika kusini.
Na vilevile kuna nchi huko kama Brazil, huzungumza kireno.
Unaona sex dating then unaulizaHii inahusiana na nini?
Asante kumbe maelewano yapo, ndio maana naona maneno ninayofahamu mimi yanaingiliana kwa lugha zote mbili kama nilivyotoa mfano hapo,kwa maelezo yako hapo Kilatini ni lugha tofauti na kiitaliano? na Kilatini kinazungumzwa nchi gani hasa?Wanaelewana kiasi kwa sababu wanashare karibu 70% ya maneno
Wale wa mpakani mwa Ureno na Hispania wanaelewana kiasi kikubwa
Wale wa mbali ya huko kama Amerika Kusini wanapozungumza Kispaniola na Brazil au Angola na Msumbiji wanapozungumza kireno lugha yao iko tofauti kwa sababu ya maneno ya asili ya sehemu husika
Lugha zote hizo na Italian wanaita ki-Latin au Latin languages na kuna sehemu kama Vatican Papa akitoa mahubiri anatoa kwa kila lugha akianzia Kilatini( lugha ya kanisa), Kitaliano (lugha ya Vatican/Itali), English, lugha yake ya asili anapotoka , Spanish, French, kireno etc
Kilatini ni lugha ya zamani ya Roman empire na Italy ya sasa ,au classic Italian language na ndiyo mama wa lugha hizo za kitaliano, kireno na kispaniola ambazo kwa ujumla zinaitwa latin languages au lugha za kirumiAsante kumbe maelewano yapo, ndio maana naona maneno ninayofahamu mimi yanaingiliana kwa lugha zote mbili kama nilivyotoa mfano hapo,kwa maelezo yako hapo Kilatini ni lugha tofauti na kiitaliano? na Kilatini kinazungumzwa nchi gani hasa?
Asante kwa ufafanuziKilatini ni lugha ya zamani ya Roman empire na Italy ya sasa ,au classic Italian language na ndiyo mama wa lugha hizo za kitaliano, kireno na kispaniola ambazo kwa ujumla zinaitwa latin languages au lugha za kirumi
Ni ile tunasema lugha ya ndani kabisa yenye maneno na misemo ya kizamani kama ilivyo kwa English kukuta maneno kama thee, thy na maneno kama hayo kwenye vitabu vya zamani kama vya Shakespeare na bible za zamani na haina misamiati mipya au maneno mapya
Sasa hivi wanatumia zaidi Vatican tu, makanisa makongwe ya wakatoliki au kufundishia kwa baadhi ya vyuo kwa ajili ya kusoma maandiko ya kale ya uvumbuzi wa kisayansi ambayo mengi yaliandikwa kwa kilatini, sheria , philosophy, tiba na biblia