Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

Wasanii wengi bado wanahitaji lebo kuwasogeza sio rahisi kwa muziki wa sasa kutoboa bila lebo sio rahisi na hata ikitokea umepata wimbo mkali ukapenya wenyewe bila uwekezaji shughuli inakuja kwenye kumaintain.
Kumbuka video ya kawaida ambayo itakupa standard za msanii anaejielewa haiwezi kuwa chini ya million 15 hiyo ni video moja na walau uwe na videos tatu kwa mwaka ili uwe machoni pa watu, kwa msanii ambae anajitafuta sio kazi rahisi.
naungana na wewe, kwa sasa ndio kinachomtokea dayoo
 
Back
Top Bottom