KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Wana Bodi,
Matumaini yangu kuwa nyote hamjambo!
Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas?
Na kwanini usiichukie Israel kwa kuvamia Palestine kwa nguvu wakati kiukweli ardhi ni ya wa Plestina.
Wapelestina wakidai wanashushiwa kipigo ja kuua watoto na wanawake! Je hapo ni yupi anastahili kuchukiwa? Na yinyi mnaoichukia Hamas mnauhakika Israel inawapenda hata kuwaona nyie wamatumbi ngozi nyeusi? Kama siyo iweje mwapende watu wasiowapenda?
Jitafakarini hata kama ni kisingizio cha dini je wao wanaunasaba na ukristo?maana wao walipinga ukritu adharani ila wakristo wanajikomba kwao wakati wao wanajua dini nyingine tofauti na ukristo hasa Roman Cathoric.
Nimemaliza