Je, we Mtanzania kwanini unaichukia sana Hamas?

Je, we Mtanzania kwanini unaichukia sana Hamas?

Mathayo 24 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³² Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu;
³³ nanyi kadhalika, myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, milangoni.
 
Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas?
1. Nawachukia kwa kuwa wamesababisha utulivu uliokuwapo Gaza na West Bank uondoke. Waliua vijana walioenda kujirusha kwenye disco, wakawabeba watoto na wazee na kuwashikilia mateka. Hali hiyo imesababisha Israel kupata hasira na kuishambulia Gaza sambamba na kuendesha msako West Bank
2. Maslahi ya kuichukia ni kupeleka ujumbe kwa wanaonizunguka wakiwa na mawazo kama ya Hamas, kuwa jambo hilo wasithubutu kulifanya wakadhani watavumiliwa
 
Wana Bodi,

Matumaini yangu kuwa nyote hamjambo!

Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas?

Na kwanini usiichukie Israel kwa kuvamia Palestine kwa nguvu wakati kiukweli ardhi ni ya wa Plestina.

Wapelestina wakidai wanashushiwa kipigo ja kuua watoto na wanawake! Je hapo ni yupi anastahili kuchukiwa? Na yinyi mnaoichukia Hamas mnauhakika Israel inawapenda hata kuwaona nyie wamatumbi ngozi nyeusi? Kama siyo iweje mwapende watu wasiowapenda?

Jitafakarini hata kama ni kisingizio cha dini je wao wanaunasaba na ukristo?maana wao walipinga ukritu adharani ila wakristo wanajikomba kwao wakati wao wanajua dini nyingine tofauti na ukristo hasa Roman Cathoric.

Nimemaliza
Kwa upande wangu ............hamasi ni wajinga tena mafala wakubwa........maana wameua na wenyewe wameuliwa na wamewasababishia watu matatizo makubwa .......na hili lazima niweke wazi wapalestina ni mataahira ya kiwango cha sgr .............unakubali vipi mtu acheze na maisha yako ,mama yako ,baba yako ,watoto wako ,binamu zako ,wajomba zako pamoja na marafiki kwa ajiri ya upuuzi eti alwar akbar..............ukitaka kuona huruma anza na hawa wa Bara lako kwanza hapo Sudan si kuna janjaweed tena waislam wenzenu au hao ni waislam wavuta bangi??? Hii dini yenu mbona shida sana??wanaua waislam wenzenu kira siku na mko kimya..........na je mlishawahi hata kuandamana? Huko Somalia wale pia si waislam wenzenu mbona kuuana?? Nigeria boko haram wale pia si waislam wenzenu mbona kuuana .........harafu yanakuja majitu yenye elimu ya madrasa yanakuja kulia lia kwenye keyboard eti ooh Jews wanaua waislam wenzetu .............miiislam yote mijinga sana kazi kupaka wanja eti yanaita sunna wakati uchoko ulee
 
Kiukweli nilikua naona huruma sana kwa Gaza kupigwa kwasababu ya kikundi cha HAMAS, kikundi kidogo tuu..mpaka pale nilipokuja kugundua kwamba wale wakazi wa mji ule ndio WAFILISTI, na tabia yao haijawahi badilika hadi leo...acha tu wazichape ili na pesa za wazungu za kuchochea ushoga kwetu waafrika zikateketee pale kwa misaada ya silaha na wokozi..

Waafrika tujifunze kujitegemeaa...tumeona rangi mbili za watu weupe.. "Double standard" sana hawa watu wenye rangi nyeupe, haijalishi anatokea amerika, ulaya mashariki ya kati wala asia..
 
Wana Bodi,

Matumaini yangu kuwa nyote hamjambo!

Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas?

Na kwanini usiichukie Israel kwa kuvamia Palestine kwa nguvu wakati kiukweli ardhi ni ya wa Plestina.

Wapelestina wakidai wanashushiwa kipigo ja kuua watoto na wanawake! Je hapo ni yupi anastahili kuchukiwa? Na yinyi mnaoichukia Hamas mnauhakika Israel inawapenda hata kuwaona nyie wamatumbi ngozi nyeusi? Kama siyo iweje mwapende watu wasiowapenda?

Jitafakarini hata kama ni kisingizio cha dini je wao wanaunasaba na ukristo?maana wao walipinga ukritu adharani ila wakristo wanajikomba kwao wakati wao wanajua dini nyingine tofauti na ukristo hasa Roman Cathoric.

Nimemaliza
Wewe unaipendea nini Hamas?
 
Hamas ni chama cha siasa kinachopigania Uhuru wa Palestina hakina tofauti na iliyokuwa TANU, ANC n.k

Nyie mnasema ni magaidi kwa vile tu ni waislamu basi hakuna jengine. Wangekuwa dini nyengine wasingeitwa magaidi. Tushazoea majina yenu hayo ya kipuuzi hatujali wala nini
Cha muhimu Wapalestina wanapigania nchi yao inayotawaliwa na Israel kwa mabavu. Ipo siku watapata uhuru wao insha Allah.
Ewe Mwenyezi Mungu wape msaada Palestine. Amina
 
Wana Bodi,

Matumaini yangu kuwa nyote hamjambo!

Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas?

Na kwanini usiichukie Israel kwa kuvamia Palestine kwa nguvu wakati kiukweli ardhi ni ya wa Plestina.

Wapelestina wakidai wanashushiwa kipigo ja kuua watoto na wanawake! Je hapo ni yupi anastahili kuchukiwa? Na yinyi mnaoichukia Hamas mnauhakika Israel inawapenda hata kuwaona nyie wamatumbi ngozi nyeusi? Kama siyo iweje mwapende watu wasiowapenda?

Jitafakarini hata kama ni kisingizio cha dini je wao wanaunasaba na ukristo?maana wao walipinga ukritu adharani ila wakristo wanajikomba kwao wakati wao wanajua dini nyingine tofauti na ukristo hasa Roman Cathoric.

Nimemaliza
Hamasi ni kama ISIS, Al SHABAB, AL QAIDA, TALEBAN, LORD RESISTANCE ARMY n.k.
Ni makundi katili ya kigaidi yasiyowakilisha Taifa lolote. Wameua maelfu ya watu.
 
Huyu Askofu Gwajima naye kachanganyikiwa

Watanzania wenzetu wawili Mollel na Mtenga wzmetekwa na Hamas hadi leo hawajaachiwa anasema yunamaze kimya

Kwa hiyo tuache Watanzania wenzetu wauawe na Hamas ?

Eti vita hiyo haitihusu.Inatuhusu sana sababu ya Watanzania wenzetu walio mateka mikononi mwa Hamas.

Uhai wao ni wa muhimu sana kwetu
 
Hamasi ni kama ISIS, Al SHABAB, AL QAIDA, TALEBAN, LORD RESISTANCE ARMY n.k.
Ni makundi katili ya kigaidi yasiyowakilisha Taifa lolote. Wameua maelfu ya watu.
Ongezea hapo Boko HARAM wanaoteka watoto na kwenda kuwabaka misituni huko kwa miaka kadhaa
 
Back
Top Bottom