Je we ni mwaminifu kwenye uhusiano ulionao?

Je we ni mwaminifu kwenye uhusiano ulionao?

Uaminifu ni tatizo kubwa sana katika hii dunia. Ni kweli kuna baadhi ya watu ni waaminifu lakini kwamba wewe unaweza kumsimamisha mdada njiani, ukaongea naye kwa dakika 10 na baada ya hapo mkatoka naye kwenda kumegana inaonyesha matatizo tuliyonayo. Uaminifu upo ila ni kwa wachache sana. Tena wachache sana.
 
kwa hilo nampa mr wako hengera, wengine tukitongozwa yunaishilia nalo rohoni mana ukimshirikisha ni umeharibu kila kitu mpaka amani yako....tunashirikisha tukizidiwa kabisa, yaani ile imezidiiiii.

Waaminifu wapo tuu jamani, ni wachache kweli ila wapo, hata mimi ni mwaminifu, kama huamini, muulize mume wangu anajua nisemali
 
kimbweka si rahisi hivyo. Nimeshatokewa na watu kibao among them wapo lecturers wangu ambao nilikua watani disco. Lakini haikuwa hivyo maana huwa nawatolea nje kiustaarabu then uhusiano wa kawaida unaendelea.

Kingine ni kuwa huwa ni muwazi sana kumwambia mr hivyo nae ananipa ushauri. Kila kitu kinawezekana kama wote mkiongea na kuwa na sauti moja. Sisi tunafurahia uhusiano wetu na haitotokea ng'o nimvulie nguo mwanaume mwingine, namshukuru mungu mwanaume wangu amekamilika kila idara kuanzia uzuri wa sura,tabia,umbo,mambo kitandani ndo usiseme na uwezo wake wa kipesa si haba,sasa kuna sababu gani ya kuhangaika nje?

Hongera na kaza buti...

Katika swala la uaminifu tunahitaji maombi mengi zaidi, wanaume hawafai, jamani mm nimeshalizwa mpaka nimechoka, sijawahi kupata mwanaume mwaminifu, mpaka najiuliza tatizo ni nini? mbona mm siwezi kuhangaika? mbona mm siwezi kuchanganya wanaume wawiliwawili? wanaume hamfai kabisa nawala sitamani kuwa na mwanaume tena.

pole sana Suzane.....usikate tamaa sio mwisho wa dunia......get urself up na maisha lazima yaendelee mambo yatanyooka tu
 
Back
Top Bottom