Je we ni mwaminifu kwenye uhusiano ulionao?

Uaminifu ni tatizo kubwa sana katika hii dunia. Ni kweli kuna baadhi ya watu ni waaminifu lakini kwamba wewe unaweza kumsimamisha mdada njiani, ukaongea naye kwa dakika 10 na baada ya hapo mkatoka naye kwenda kumegana inaonyesha matatizo tuliyonayo. Uaminifu upo ila ni kwa wachache sana. Tena wachache sana.
 
kwa hilo nampa mr wako hengera, wengine tukitongozwa yunaishilia nalo rohoni mana ukimshirikisha ni umeharibu kila kitu mpaka amani yako....tunashirikisha tukizidiwa kabisa, yaani ile imezidiiiii.

Waaminifu wapo tuu jamani, ni wachache kweli ila wapo, hata mimi ni mwaminifu, kama huamini, muulize mume wangu anajua nisemali
 

Hongera na kaza buti...


pole sana Suzane.....usikate tamaa sio mwisho wa dunia......get urself up na maisha lazima yaendelee mambo yatanyooka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…