Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba tuendelee namapenzi kama kawaida. Baada ya wiki moja na mzigo nimekula rafiki yake ananishanga nawezaje kuwa naye wakati anampenzi mwingine toka advance school, naye hajaniambia kwamba anamshikaji mwingine, je ni pige chini au niendelee kula mzigo huku natafuta mwingine?