Je we ungefanya nini?

Je we ungefanya nini?

SIXPLANET

Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
83
Reaction score
20
Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba tuendelee namapenzi kama kawaida. Baada ya wiki moja na mzigo nimekula rafiki yake ananishanga nawezaje kuwa naye wakati anampenzi mwingine toka advance school, naye hajaniambia kwamba anamshikaji mwingine, je ni pige chini au niendelee kula mzigo huku natafuta mwingine?
 
hahahaha aibu!!!
mwana sasa wewe uliomba mapenzi ya siri na yeye amekubali basi usishangae yeye kuwa na mwengine.....hapa wewe unashare na jamaa soo endelea tuu maana unapata unachotaka....mapenzi ya siri!!
 
We kwa nini ulitaka mapenzi ya siri? kila penye siri hapana haki, au hujui?
 
Dah, Jf sijui ndo inashuka kiwango au inapanda maana ni kazi kwelikweli.
 
Ukiulize je nipige chini kwani nafsi yako inakwambiaje ukiwa kama Rijali? je unaweza tule tugawe? unajipenda kiasi gani? au ulimuliza kama anamchumba mwengine kabla hujaanza mahusiano?soma kijana warembo wapo wengi sana wala kula uroda na wesichana wengi hakukufanya ukaitwa mwanamme! ila elimu yako ndio itakufanya uwapate mpaka usikie kichefuchefu,soma achana na wasichana,Ingekua tamu usingeikuta....
 
this is way too low 4 JF.................too good to be discussed
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,,,,,, :lol: :lol:, kula mzigo bana wala usiwaze marambili, kamavipi tupia soksi kabisa alafu kamua ishu kwa hasira zaidi mpaka ajute kwann hakukwambia ana mpenzi',,, :eyebrows:
 
huyo mwengine utampata lini kwani? Unavozidi chelewa ndo unavoweka mizizi.
Chapa lapa mapema.
 
Ushaonja huko ndo unaanza kisingizio
yaani mngekua mnasomeka mioyoni nyie
sijui kama mngetupata....lol
 
Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba tuendelee namapenzi kama kawaida. Baada ya wiki moja na mzigo nimekula rafiki yake ananishanga nawezaje kuwa naye wakati anampenzi mwingine toka advance school, naye hajaniambia kwamba anamshikaji mwingine, je ni pige chini au niendelee kula mzigo huku natafuta mwingine?

Hiyo ndo raha ya kuchakachua, sababu wewe ulitaka mapenzi ya siri maana yake una wako ila ulitaka mpenzi wa muda ambaye hatokuja kujulikana kwa demu wako na ndo maana naye alifanya siri hivyo hivyo bila ya kukutaarifu ya kuwa ana mpenzi wa muda mrefu. Tatizo watoto wa siku hizi mnawaza ngono tu badala ya kusoma kwa bidii huko chuoni, ngoja upate supplementary kama sio kudisko ndo utapata akili vizuri.
 
Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba tuendelee namapenzi kama kawaida. Baada ya wiki moja na mzigo nimekula rafiki yake ananishanga nawezaje kuwa naye wakati anampenzi mwingine toka advance school, naye hajaniambia kwamba anamshikaji mwingine, je ni pige chini au niendelee kula mzigo huku natafuta mwingine?
...Endelea kumtafuna cha msingi we mpige pipe vizuri hatamkumbuka huyo mpenzi wake hata kidogo lakini kama unalegea legea atakula kona muda si mrefu.
 
muulize kwanza,akikataa,fanya uchunguzi na ukibaini ana jamaa na yeye alikuficha,PIGA CHINI maana u might b a loser someday...watch out!
 
ila na wewe hujatulia,KWANINI UNATAKA MAPENZI YA SIRI SIRI,IT MEANS UNAMCHAKACHUA TU.....SO WAT?????
 
inaonekana wewe msela nondo kweli kweli!lol
 
Back
Top Bottom