Je we ungefanya nini?

Je we ungefanya nini?

Sasa na wewe kama sio mwaminifu why unataka mapenzi ya siri ungekuwa open hayo yasingetokea na unavyo fanya siri unampa nafasi ya kuchakachua kwingine sioni sababu ya kufanya siri km unampenda.
 
Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba tuendelee namapenzi kama kawaida. Baada ya wiki moja na mzigo nimekula rafiki yake ananishanga nawezaje kuwa naye wakati anampenzi mwingine toka advance school, naye hajaniambia kwamba anamshikaji mwingine, je ni pige chini au niendelee kula mzigo huku natafuta mwingine?

Labda huyo rafiki yake anakutaka! Mulika mwizi aisse!
 
Nilifanya mapenzi na wanawake watatu tofauti ndani ya Rest House moja. Mapenzi yalikuwa ya siri kweli. Mapenzi ya siri ni dili!
 
Kuna demu nasoma naye chuo nilimtongoza mara ya kwanza nakumuomba mapenzi yawe siri akakata akadai hawezi kuwa na mapenzi ya siri nikaachana naye. Baada ya mwezi akanirudia mwenyewe nakuomba tuendelee namapenzi kama kawaida. Baada ya wiki moja na mzigo nimekula rafiki yake ananishanga nawezaje kuwa naye wakati anampenzi mwingine toka advance school, naye hajaniambia kwamba anamshikaji mwingine, je ni pige chini au niendelee kula mzigo huku natafuta mwingine?

Mtandao wa NGONO! Badilikeni vijana!
 
Back
Top Bottom